Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
KAMA UNACHEZA NA MUNGUU NDUGU HIZI NDIZO ADHABU ZAKO KIFUPI NI ALBADILI YA KIKRISTO
Bwana asifiwe...... nakupa kwa uchache tu mistari ya Zaburi 109 kila anayepita njia yako anakutesa... usimjibu kuna namna ya kufanya kisha msomee zaburi hii ... tuanze mstar wa sita.. hiihabaki mtuš¤£š
6 Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
7 Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
8 Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.
10 Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
11 Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
12 Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
13 Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
14 Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe.
15 Ziwe mbele za Bwana daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
AKICHOMOKA HAPA SIJUIš¤£š