Irene Uwoya kuelimisha Jamii majumbani

Irene Uwoya kuelimisha Jamii majumbani

mafao

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Wadau hebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada Irene Uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum ataweza?
 
wadau ebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada irene uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum ataweza???

Ataweza kulinganisha na nani? Hawa wabunge wa kuteuliwa wa sasa wanafanya kitu gani ambacho uwoya atashindwa. Kwa kazi yao ya sasa ya kuwahudumia waliowapa huo ubunge, nina uhakika uwoya ataiweza zaidi.
 
wadau ebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada irene uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum ataweza???


Tanzania ni nchi ya vituko kweli!
 
eti umesema anaelimisha jamii au anapotosha jamii??

familia yake tu imemshinda.. hebu atupishe huko
 
Mbona umefikiria ubunge tu????hakuna jambo lingine kama uchungaji teh teh teh!!!!!!!!
 
Viti maalum vya mwaka gani unataka apewe?kwenye katiba mpya tumesema hatutaki viti maalum.
 
kumbe huyu ndo penny mwenyewe.....pole mamy
 
Back
Top Bottom