wadau ebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada irene uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum ataweza???
wadau ebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada irene uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum ataweza???
Twi twi twi......!Mbona umefikiria ubunge tu????hakuna jambo lingine kama uchungaji teh teh teh!!!!!!!!
Sintokaa nikiangalie kipindi chake NEVER!!!!!!!!!!!!!!
penny....yale yalikwisha bana...msapoti tu mke mwenzako
Sintokaa nikiangalie kipindi chake NEVER!!!!!!!!!!!!!!
Usipoangalia wewe wengine wataangalia ivo hakuna effect Muke ya muzungu
ndio maana nikasema MIMI mimi MUKE YA MUZUNGU!!!!!!!!!!!!!!!sijawaongelea wengine
Kuna mtu humu anasema eti wewe ndo yule mdada aliyetajwa kwenye wimbo wa Ney uitwao Muziki gani akimshirikisha domo?