Irene Uwoya Mkasi 2011: Thamani ya kiatu laki tisa, Kikuku kila mguu laki mbili hivi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Hicho kiatu chake laki 9 hivi,na kikuku(cheni ya mguu)kila mguu laki mbili hivi kila mguu.



 
Last edited by a moderator:
Hicho kiatu chake laki 9 hivi,na kikuku(cheni ya mguu)kila mguu laki mbili hivi kila mguu.




Inawezekana ikawa ni kweli lakini pia inaweza kua ni spoof
 
Last edited by a moderator:
Asituchoshe nafsi zetu sie, jeuri hiyo aipate wapi? Naende akachunge mabata...
 
Mimi sishangai kuhusu viatu wala madini kama una hela na unapenda kuvaa vizuri mbona unavaa hata milioni 10 kwa mpigo.

To me its just a matter of cash
 
Wanapenda sana kuongeza sifuri mwishoni..
 
nakumbuka inawezekana alinnua nje ya nchi maana kipindi kile yupo na ndiku na alikua cyprus
ndo alikua mtu wa kwanza kuhojiwa mkasi km sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…