Irene Uwoya na Ndikumana wanaswa "LIVE" Airport

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya uvumi kuenea kuwa, ndoa ya muigizaji kiwango bongo, Irene Pancras Uwoya imevunjika, wawili hao walinaswa Live Airport nchini Rwanda wiki iliyopita, ambapo mke huyo wa Ndikumana alienda nchini humo kumsabahi husband wake.



 
Nitamuona ndiku mjinga sana kama akirudiana na huyu shetani
 
Nitamuona ndiku mjinga sana kama akirudiana na huyu shetani

Binadamu mwenzako Leo unamnyooshea kidole na kumwita shetani? Kwa usafi gani ulionao? Kama ni kuzini we huzini? Husemi uongo? Mjinga kweli wewe..soma vitabu vya dini na ukome kuhukumu kwa makosa ambayo na wewe unayafanya pia..au kwa kuwa we we hatukuoni?
 
Mapenzi kizunguzungu....my renee mpende huyo bwana...hawa mananiliu hayana mwisho mzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…