Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Aiseena mimi huwa napenda wasio na mvuto maana huwa wanaikatikia ili kesho tena niwatafute
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu mwaka kweli mchunguu na mgumu mpaka mtasema mnapenda wanaume domo zege sababu wanahonga sana, tutafika tu
Mkuuu[emoji124]Huu mwaka kweli mchunguu na mgumu mpaka mtasema mnapenda wanaume domo zege sababu wanahonga sana, tutafika tu
4.h babaTucheki hii list halafu tuone kama kuna ukweli;
1.Chibu Dangote
2.Ndikumana
3.Msami
[emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120]Mkuuu[emoji124]
kweli nami nimeamini yani hapo simba kala simba hata nyasi hazipo na hana cha kufanyaa [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hakuna lolote sema unafuata pesa wewe wanajituma kitu gani? na vibamia vyao hivyo..