Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu mama.Anavyozurula na mashoga kumbe nae anaogopa mtoto wake asiharibike.
SawaUyo ni mtu maarufu kwahiyo anatoa ujumbe kwa jamii
Dada angu alikua anaolewa saloon anapofanya make up kaoge alikua anafanya kazi hapo.Wayback Zamaradi Mketema yupo Clouds alimhoji gay maarufu kipindi hicho alikua anaitwa Kaoge.
Kaoge alikua na usemi wake maarufu anasema "Mtoto show rangi ya jogoo chakula chake ub00"
Ile ishu ilienda viral Clouds wakapigwa fine. Kaoge akapoteza maisha kwakua ndogo ilioza. Zamaradi akahama Clouds.
Mbona taarifa zilivuma hivyo? Kwamba ndogo iliozaDada angu alikua anaolewa saloon anapofanya make up kaoge alikua anafanya kazi hapo.
Nikapewa hela nikampe kaoge akanunue toothstick.
Nimetoka nje namkuta nikashindwa nimuitaje! Alikua amevaa skintight na top sura ngumu ile kazi ni kazi.
Nikamung'unya mdomo "kaka umeambiwa ukanunue stick za meno" akacheka akaenda kununua.
Halafu hakufa kwa kuoza nyuma, alikufa kwa ugonjwa.
Sasa ndogo inaozaje? Nimejua sababu ya kifo sababu saloon alipokua anafanya kazi ni kwa ndugu yangu.Mbona taarifa zilivuma hivyo? Kwamba ndogo ilioza