Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kuna saloon moja ipo kino ni maarufu tuu sasa huwa kuna grocery sjui liquor niseme hivyo siku nimekaaa pale nikaona wadada wametoka saloon wakaja kukaa hapo kwenye groceryDada angu alikua anaolewa saloon anapofanya make up kaoge alikua anafanya kazi hapo.
Nikapewa hela nikampe kaoge akanunue toothstick.
Nimetoka nje namkuta nikashindwa nimuitaje! Alikua amevaa skintight na top sura ngumu ile kazi ni kazi.
Nikamung'unya mdomo "kaka umeambiwa ukanunue stick za meno" akacheka akaenda kununua.
Halafu hakufa kwa kuoza nyuma, alikufa kwa ugonjwa.
Ndo hiyohiyo saloon nayoizungumzia!Kuna saloon moja ipo kino ni maarufu tuu sasa huwa kuna grocery sjui liquor niseme hivyo siku nimekaaa pale nikaona wadada wametoka saloon wakaja kukaa hapo kwenye grocery
Dk tano hv namuona jamaa mmoja akaja pale kuwafuata wateja wake alivyorendemka duuuh hatare sana
Kuna ma-aunt wengine wako na sura ngumu alooh afu sjui ni kukondaNdo hiyohiyo saloon nayoizungumzia!
Mimi alinambia usinite kaka niite "wifi"
Sasa nikimuangalia mtu mwenyewe anayetaka kuitwa wifi ana sura ya kazikazi!
Kwani huyo mtoto ni mzimaIrene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.
"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake aaribike labda awe kichaa, Mimi sitaki hata mtoto wangu aende kulala ata kwa ndugu yoyote sababu Dunia imearibika, mimi ndo najua machungu ya mtoto wangu nitakuwa naye" Alisema -Irene uwoya.
Anavyozurula na mashoga kumbe nae anaogopa mtoto wake asiharibike.
Basi millennials tuliingizwa chakaSasa ndogo inaozaje? Nimejua sababu ya kifo sababu saloon alipokua anafanya kazi ni kwa ndugu yangu.
Na msiba ulikua palepale saloon.
Mama yake anakimbia uharibifu lakini ukiangalia ana mu expose huyo dogo kwenye mambo ya ajabu ajabu tuMungu aingilie kati kwa huyu mtoto
Anajaribu kuhadaa uma ila ukweli anaujuaMama yake anakimbia uharibifu lakini ukiangalia ana mu expose huyo dogo kwenye mambo ya ajabu ajabu tu
Word.No offence ila mbona kama Dunia yenyewe ni yeye mwenyewe?
Inasikitisha sana, kwa ufupi anachisema mtoto wake ana muharibi yeye mwenyewe, haitaji msaada wa kufanya uharibifuAnajaribu kuhadaa uma ila ukweli anaujua
Bado ana nafasi anaweza kumsaidiaInasikitisha sana, kwa ufupi anachisema mtoto wake ana muharibi yeye mwenyewe, haitaji msaada wa kufanya uharibifu
na baba wa dogo ndio alishajifiaBado ana nafasi anaweza kumsaidia
Ndogo ilioza ndo nini mkuu?Wayback Zamaradi Mketema yupo Clouds alimhoji gay maarufu kipindi hicho alikua anaitwa Kaoge.
Kaoge alikua na usemi wake maarufu anasema "Mtoto show rangi ya jogoo chakula chake ub00"
Ile ishu ilienda viral Clouds wakapigwa fine. Kaoge akapoteza maisha kwakua ndogo ilioza. Zamaradi akahama Clouds.