Kuna baadhi ya ndugu wamewaharibu watoto wa kiume kwa kuwafanyia ukatili wa kijinsia ,kwahiyo kuchukua kwake tahadhari si jambo baya.
Mzazi kama mzazi hawezi kuruhusu mtoto wake wa kike au wa kiume alale na mtu mzima aliyebalehe kwenye kitanda kimoja ,ila wakienda kwa ndugu huyu mlezi wa huko huwa hajali wote wanalala chumba kimoja.