Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Ushamuona huyo mola akasema jambo hilo litamuweka pabaya!? Huyo mola atakuwa mjinga kiasi gani asikielewe kiumbe chake kwa picha iliyowekwa na kiumbe kingine, hebu tafuta kazi ya kufanya


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni imani mkuu ikiwa umeacha athari nzuri kama umechimba kisima basi utaandikiwa mema yako ( Thawabu) kwa wema uliouacha hata kama ukiwa umekufa na kinyume chake ukiaacha athari mbaya inaweza kukuweka pabaya mbele za Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuto mwenyewe alikuwaga anaigiza baa aluvyokuwa TOT.Acheni figisufigisu,Baa inaitwaje,je kuna TOTOZ?
 
Ogaaah! Hivi kumbe unaweza kusababisha watu wawe na hali mbaya huko kaburini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam kwa mfano ukitaja maovu yake aliyokuwa akiyafanya duniani au kueneza uovu wake duniani au kumsema juu ya Tabia zake chafu alizokuwa anafanya

Chamuhimu ni kumuombea msamaha wa madhambi yake na sio kumfanya kivutio cha watu kuja kunywa pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo kwanza umemtangazia biashara IU, piga kazi kijana, achana na kuwa na roho ya korosho...
 
Mi nimekuja race nikijua ametoa muvi "pilau"
 
Huuu Uzi utakuwa umeanzishwa na Dogo janja mana sio kwa povu hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…