dah nilitune nikakutana na nyimbo za dansi ghafla mtangazaji anaitwa Irene kakatiza kaanza kuongea,15 minutes sasa utadhani ni mahubiri anaongelea jinsi watu wasivyoweka siri
sijui ni mambo yao ya kike ya mtaani kavileta studio? yaani ushaongea point imeeleweka bado unarudiarudia
MBAYA ZAIDI CAPITAL FM ACHENI USHAMBA KAMA MTANGAZAJI ANAAMUA KU HUBIRI WEKEN BASI SOUNDTRACK KWA CHINI A.K.A BED MUSIC/BACKGROUND SOUND
mru anaongea 20 minutes kavukavu ,duh