Irina Shayk: Kama mlini-Follow kwa sababu ya Ronaldo nimeshaachana naye so mni-unfollow

Irina Shayk: Kama mlini-Follow kwa sababu ya Ronaldo nimeshaachana naye so mni-unfollow

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea?

Alipoteza wafuasi millioni 11 ndani ya saa 24 pekee. How powerful RONALDO HE IS
 
Sasa hapo unafikiri wagonjwa wa akili ni nani Zaidi ya hao followers milion 11? Watu wanatengeneza misukule kwenye hii dunia
 
Back
Top Bottom