Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

Registration_inaendelea_mkoa_wa_Iringa_wanachama_wetu_wa_%40chadematzofficial_wanaendelea_kuji...jpg
 
Zoezi liendelee kwa kasi kusajiri wananchi kwenye mfumo, iwe kwenye foleni zaa maji, kanisani, misikitini, sokoni, kwenye madaladala, bar, kwenye misiba, mahospitali - syle ni ile ile - kimya kimya.
 
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha , Lakini bila kelele yoyote ile , ni mwendo wa kimya kimya tu .

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo , pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

View attachment 1962490
watu wana usongo na CCM/serikali. we acha serikali iwaonee Bawacha kama wanavyofanya. Watu wanaona haki ikivunjwa wazi wazi kwa kiburi cha madaraka, watajutia siku ikifika
 
watu wana usongo na CCM/serikali. we acha serikali iwaonee Bawacha kama wanavyofanya. Watu wanaona haki ikivunjwa wazi wazi kwa kiburi cha madaraka, watajutia siku ikifika
Wala si siku nyingi
 
Back
Top Bottom