Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

Zoezi liendelee kwa kasi kusajiri wananchi kwenye mfumo, iwe kwenye foleni zaa maji, kanisani, misikitini, sokoni, kwenye madaladala, bar, kwenye misiba, mahospitali - syle ni ile ile - kimya kimya.
 
watu wana usongo na CCM/serikali. we acha serikali iwaonee Bawacha kama wanavyofanya. Watu wanaona haki ikivunjwa wazi wazi kwa kiburi cha madaraka, watajutia siku ikifika
 
watu wana usongo na CCM/serikali. we acha serikali iwaonee Bawacha kama wanavyofanya. Watu wanaona haki ikivunjwa wazi wazi kwa kiburi cha madaraka, watajutia siku ikifika
Wala si siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…