Tetesi: IRINGA: CHADEMA kufukuza madiwani 6

Tetesi: IRINGA: CHADEMA kufukuza madiwani 6

herry msagati

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
293
Reaction score
199
Nawashangaa vijana wa lumumba mnatapatapa sana kutunga uongo kila siku, me nipo iringa hayo mnayoyasema hayapo kabisa tumetoka kwenye mkutano juzi tu na madiwani wote walikuwepo sasa huu uzushi wenu sijui mnaimendea ile nafasi ya uwaziri wa nishati na madini? Punguzeni pressure kwa hali hii iliyopo sasa nchini hata wale wa vijijini namba washaisoma vzr, ndipo mtawaeleza vzr kwamba mmejenga fly over pesa zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom