Iringa,dar es salaam vyaongoza katika maambukizi ya ukimwi

Iringa,dar es salaam vyaongoza katika maambukizi ya ukimwi

PAMBA1

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
55
Reaction score
26
nipo katika semina na watu wa AMREF morogoro katika takwimu waliyofanya wametwambia kuwa IRINGA ni mkoa unaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi kwa 14.8% na ikifatiwa na DAR ES SALAAM 8.7% ikilinganishwa na takwimu za serikali ya 5.7 ya maambukizi kwa mikoa hiyo hivi sasa imevuka takwimu.
 
Nina shaka sana na tafiti za Tz.
Iringa wanastahili hongera kwa kupenda zaidi yale mambo.
OTIS.
 
Mmmh! Hizi takwimu we mkaka umezitoa chocho ipi???!
 
Back
Top Bottom