Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Kwema waheshimiwa. Kesho nategemea kwenda iringa j2 nitakuwa napumnzika and j3 nitakuwa job. Nategemea kuwepo hapo hadi ijumaa so bandugu hebu niambieni viwanja vizuri vya kutembelea.
Lodge nzuri isiyozidi elf 30. Occasionally huwa natumia pombe bia 2 au 3, sipendi sehem zenye makelele na miziki mikubwa.
Napenda kukaa sehem zenye utulivu sana.
Lodge nzuri isiyozidi elf 30. Occasionally huwa natumia pombe bia 2 au 3, sipendi sehem zenye makelele na miziki mikubwa.
Napenda kukaa sehem zenye utulivu sana.