Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
- Thread starter
-
- #41
Jacket nlilisahau kwenye bus so nipo tu nataka nitoke kuzurura kidogo saiz. Ila hoteli leo changamoto iringa imetapika wageni wengi balaa nimekuja njia nzima magari ya serikali tu ndo mengiNaogopa sana baridi nimejihami na vijacket nlikuwa nimevitunza miaka kibao ikabidi nikavifukue na zile shirts zenye 2 core
Iringa ni njema sana.Safari yangu ya iringa ilikua nzuri sana, nimeipenda iringa pamechangamka na biashara zinafanyika hadi usiku mnene
Imekaa pabaya sanaApo Hanspope
Mkuu acha utani,Iringa ni sehemu gani pamechangamka kibiashara na watu walivyo wachache,sio miyomboni Wala mashine tatu,ila kwa mandhari ni mji mzuri sana,Mungu akijalia ntaishi uzee wangu Iringa,bela vahungilage kukayaSafari yangu ya iringa ilikua nzuri sana, nimeipenda iringa pamechangamka na biashara zinafanyika hadi usiku mnene
Ahahaha..aisee..Maeneo tulivu nenda sunset hotel, backyard lounge, savanna,mount royal hotel,n.k
Mziki nenda Miami, royal tour,warm up, luxury,n.k
NB: Nitafute sinywi bia zaidi ya 4
We ni me au ke,maana unavyoandika kimadeko?Mm sio vitu vyangu kuenda bar, japo huwa nagonga kidogo sana ila sipendi bar za makelele so huwa sitoki tu mara kwa mara. Kuna maeneo kama coral reefs palivyo mida ya usiku ndo napenda sikupata mandhali kama ile iringa, naoenda pia live band