DOKEZO Iringa: Huduma kwa Wateja IRUWASA ni shida

DOKEZO Iringa: Huduma kwa Wateja IRUWASA ni shida

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Deog

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
235
Reaction score
63
Salam!

Huduma ya kupata TOKEN za maji uliyonunua kwa njia ya mtandao ni shida.

Unanunua maji ni kama una bet, inaweza usipate sms ya token, na ikirudi huchukuwa masaa.

Kupiga huduma kwa wateja simu yako mpaka ipokelewe ni sawa na ku-bet nako.

Hela imeenda, unahitaji maji hupati, unawapigia wakupe maelekezo hawapokei na ni tatizo la muda mrefu.

Waziri wa Maji, tusikie kilio chetu wana Iringa huku.
 
Back
Top Bottom