wandugu jana iringa ilitawaliwa na maandamano makubwa ya chadema, mji mzima ulijaa furaha huku watu wakiimba mafisa hatuwataki na kuwaacha wafuasi wa ccm hoi.picha kutoka francis godwin.blogspot.com
wandugu jana iringa ilitawaliwa na maandamano makubwa ya chadema, mji mzima ulijaa furaha huku watu wakiimba mafisa hatuwataki na kuwaacha wafuasi wa ccm hoi.picha kutoka francis godwin.blogspot.com
Kila kona watu ambao tayari wamemaliza kutoa hukumu wanaonyesha kuwa na matumaini makubwa ya CHADEMA kuibuka na ushindi wa kishindo, Nami nimepiga kura yangu, na nimepita maeneo ya Soko Kuu na hata barabarani, hakuna watu wengi kama ilivyo kawaida na maduka mengi yamefungwa bado.