Iringa kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa?

nakubaliana na wewe yawezekana nimekosea lakini kampuni iliyopewa tenda ni ya geofrey mungai na nauhakika

Just for the records kampuni ya jamaa inaitwa GNMS. Jadilini hoja issue ya jina wekeni kando.
 

Wewe utakuwa na matatizo ya akili yaani chizi
 
Hayo n maandalizi tu, dodoma walihamishaga watu 5yrs ago
 
Itakuwa vizuri sana kwa wakazi wa iringa ikiwa uwanja huo utajengwa kwani kuna mbuga ya taifa RUAHA na pia Shughuli za kiuchumi zipo nyingi ni fursa kwa wana IRINGA na taifa zima ki ujumla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…