Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
UTUMWA HUU KISA UBUNGE.Wakuu!
😀😀 Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati akiomba kura ya ndiyo ili kupata ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Kwenye kutafuta hakuna aibu mkuu. Mtu akipata ubunge kwa Tanzania ni kama kashinda bingoUTUMWA HUU KISA UBUNGE.
Ni usengee tu. Ccm imeharibu sana akili za watanzaniaa. Wamekua watu wapumbavu sanaUTUMWA HUU KISA UBUNGE.
AkajiajiriWakuu!
😀😀 Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati akiomba kura ya ndiyo ili kupata ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge kupitia chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Ndugu wajumbe,zaidi wajumbe wazalendo kuleni vichwa vyote vya chawa na machawa,wanaojipitisha kuonekana ni wapigania watanzania na maslahi yao,huku wakiwa na hadaa nyingi wakiamini maneno ya chawa wao watawatoa Watanzania kwenye reli,ili malengo yao ovu yatimie bila kutokwa jasho.Wakuu,
Hivi huku kama sio kujidhalilisha ni kitu gani?
Huyu anaitwa Nguvu Chengula na hapo alikuwa anatetea ugali wake
Kasema aMECHOKASANAAA wamuonee huruma..Sio kwa ubaya, ila kwa maoni yangu ni kwamba huyu mtoto wa mwanamke HATOBOI