johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msambatavangu au Msigwa? ๐Hili ndilo tumekubalia a Wapiga kura wa Iringa mjini
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela ๐ผ
CCM? Kumbe bado kilazaHili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela ๐ผ
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha
Hasira za Wapigakura kwa Bandari zitaishia kwa Wabunge, nashauri CCM ituletee Wagombea Ubunge Wapya Kabisa 2025, wawaache Spika na PM tu!
Mchungaji Msigwa alikuwa anachaguliwa Kwa Sababu ya Chadema tu hilo hata yeye mwenyewe anajua!Kwa hiyo mtampa kura fake pastor? Wahehe mlikuwa wa moto sana hapo nyuma kiasi lakini kwa hali inavyozidi kwenda mnarudi kwenye mambo ya kiwaki.
Sasa ikawaje wakaangukia kwa yule mama mropokaji?Mchungaji Msigwa alikuwa anachaguliwa Kwa Sababu ya Chadema tu hilo hata yeye mwenyewe anajua!
Jesca ni Mnyalu pure!Sasa ikawaje wakaangukia kwa yule mama mropokaji?
My point was not about uhehe wake rather anaonekana mropokaji na hana haiba ya uongozi kwa level ya ubunge. Anyway watajijua wenyewe.Jesca ni Mnyalu pure!
Jesca alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, usisahau hilo ๐ผ๐ฅMy point was not about uhehe wake rather anaonekana mropokaji na hana haiba ya uongozi kwa level ya ubunge. Anyway watajijua wenyewe.
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela ๐ผ
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha
Hasira za Wapigakura kwa Bandari zitaishia kwa Wabunge, nashauri CCM ituletee Wagombea Ubunge Wapya Kabisa 2025, wawaache Spika na PM tu!
Useri-Rombo na Iringa mjini wapi na wapi bwashee ๐ค๐คฃHili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Jimbo ligawanywe. Kila mtu apateMsambatavangu au Msigwa? ๐
HakikaHili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela ๐ผ
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha
Hasira za Wapigakura kwa Bandari zitaishia kwa Wabunge, nashauri CCM ituletee Wagombea Ubunge Wapya Kabisa 2025, wawaache Spika na PM tu!
VizuriHili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela ๐ผ
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha
Hasira za Wapigakura kwa Bandari zitaishia kwa Wabunge, nashauri CCM ituletee Wagombea Ubunge Wapya Kabisa 2025, wawaache Spika na PM tu!
Jimbo siyo ChapatiJimbo ligawanywe. Kila mtu apate
Mbena huyoJesca ni Mnyalu pure!