Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limamshikilia mwanakwaya mmoja wa Parokia ya Mshindo ya Kanisa Katoliki mini Iringa kwa tuhuma za kumdhalilisha kijana wa miaka 14 ambaye alimwajiri kumuuzia Duka lake.
Kaimu kamanda wa Polisi wa mkoa wa Iringa, Alfred Mbena anesema mtuhumiwa huyo Blass Nicholas maarufu kama Matowa mkazi wa Mtaa wa Kitasengwa mini Iringa amefanya tukio hilo Juni 9,2024 majira ya usiku.
kwa mujibu wa Kaimu Kamanda,siku ya tukio mwanakwaya huyo alirejea usiku na Kugonga mlango wa chumba anacholala mfanyakazi wake wa dukani na kumlazimisha kulala naye chumbani kitandani na Kisha kumfanyia unyama huo.
Mtuhumiwa alimsababishia kijana huyo maumivu sehemu za siri na hivyo kuamua kumueleza mama yake mlezi.Mtuhumia amekamatwa