Iringa: Mwanakwaya adakwa akidaiwa kumdhalilisha kijana wa miaka 14

Habari yako haileweki kijana ni wakike au wakiume?

Na huyo aliedhalilisha ni jinsia gani? Bwana rc w simiyu
Muhimu umri wa huyo kijana. Kwani mnataka angekuwa wa kike ndio kusiwe na kesi au?
 
Narudia tena kuuliza huyo mwanakwaya niwakike wa kiume au huyo kijana niwakike wakiume
 
Kwan kuwa mwanakwaya ni cheo? Kwa nn atambulushww ka mwanakwaya?

Au target ni kanisa katoliki?
 
N
Ostaz naona umeamua kuripoti hii ili ulipe kisasi cha yule mwalimu wa madrasa aliyelawiti na kubaka wanafunzi 14..

So tukienda kimahesabu hapo bado mnaongoza 13-0, mpo vizuri sana.
Na kisa cha Yahya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…