Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Iringa wanalalamikia kundi la watu waliotajwa kama Mgambo kuvamia na kuvunja Vibanda, nyumba na kuharibu mali mbalimbali ikiwamo na kuvunja jiwe la msingi la CCM na kuchana picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na Hayati Magufuli.
Zoezi hili linadaiwa kufanyika majira ya saa 10 usiku huku baadhi ya wananchi wakimtuhumu Mkurugenzi wa Halmashauri ya ya Manispaa ya Iringa Kastori Msigala kuratibu zoezi hilo.
Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa MR Bi Kalinga ameonesha kushangazwa na tukio hilo huku akidai hana taarifa yeyote kuhusu zoezi hilo la kubomoa Vibanda na uharibifu wa Mali.
"Hii ni Ajenda ya kutuchonganisha na wananchi tuonekane hatufai, wamevunja jiwe la msingi la CCM hapa na kuchana picha ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kikao chetu cha Mwisho na Mkuu wa Wilaya" tulikubaliana kwa matukio kama haya yasifanyike bila Mwenyekiti kijulishwa"
My Take:
MAMA ANATEKELEZA, CCM MITANO TENA