ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Asante ila embu nielimishe uzuri zaidi pls. Una maanisha kwa ekari nane lazima niwe na simtanks 10? Sasa mbona same tank inamwagia ekari 2 kwa pressure nzuri tu?Kwanza kabisa inategemea unataka kumwagilia kwa kutumia mfumo gani,mfano kama utatumia sprinkler irrigation system ni lazima utahitaji pump kuweza kupata pressure ya kutosha kuweza ku run hizo sprinkler,Kama utatumia drip irrigation kwa mnara wenye futi 12 utaweza kupata pressure ya 0.36 bar,Hii pressure na tank lako (lita 5000) vitatosha kumwagilia vizuri eneo la ekari moja.Kuweza kumwagilia shamba lote la ekari 8 utahitaji kutumia pump otherwise uongeze matank.Kwa ushauri na shughuli zote za umwagiliaji unaweza kuwasiliana nasi kupitia +255752022108.
Mkuu ungeendelea kudadavua hayo maelezo ingetufaa wengiKwanza kabisa inategemea unataka kumwagilia kwa kutumia mfumo gani,mfano kama utatumia sprinkler irrigation system ni lazima utahitaji pump kuweza kupata pressure ya kutosha kuweza ku run hizo sprinkler,Kama utatumia drip irrigation kwa mnara wenye futi 12 utaweza kupata pressure ya 0.36 bar,Hii pressure na tank lako (lita 5000) vitatosha kumwagilia vizuri eneo la ekari moja.Kuweza kumwagilia shamba lote la ekari 8 utahitaji kutumia pump otherwise uongeze matank.Kwa ushauri na shughuli zote za umwagiliaji unaweza kuwasiliana nasi kupitia +255752022108.
Hapana,sio lazima kuwa na simtanks 10,Kitaalamu tunashauri Tank lenye ujazo wa lita 5000 kumwagilia shamba lenye size ya ekari moja.Iko hivi, kwa drip zenye spacing mfano 30cm na flow rate ya 1.5 l/h utahitaji tank lenye ujazo wa lita 20000 ili kumwagilia shamba la ekari moja kwa lisaa limoja.Asante ila embu nielimishe uzuri zaidi pls. Una maanisha kwa ekari nane lazima niwe na simtanks 10? Sasa mbona same tank inamwagia ekari 2 kwa pressure nzuri tu?
Natarajia kutumia system ya drip irrigation
Hope tumeelewana boss,Kwa maswali,ushauri,vifaa na ufungaji wa mfumo huu wa umwagiliaji usisite kuwasiliana nasi kupitia +255752022108.Mkuu ungeendelea kudadavua hayo maelezo ingetufaa wengi
Asante sana mtaalam, kwa faida ya wengi..Hope tumeelewana boss,Kwa maswali,ushauri,vifaa na ufungaji wa mfumo huu wa umwagiliaji usisite kuwasiliana nasi kupitia +255752022108.
Kwanza kabisa kuna drip za mboga mboga na drip za miti kama matunda,tofauti yake ni kwanmba hizi za mboga mboga zinakuwa na emitter tayari na zinakuwa na flow rate ndogo(mostly1.5l/h ,2l/h),hizi drip za miti zenyewe zinakuwa hazina emitter,emitter unaweka mwenyewe kulingana na spacing yako ya miti na flow rate unayohitaji(mostly 4l/h-8l/h) kwahiyo kwenye drip za miti inahusisha BLIND PIPE na BUTTON DRIPPER,Asante sana mtaalam, kwa faida ya wengi..
shamba la miti ya matunda Kama parachichi vile acre 1 miti 75 spacing ya 8*9m mchanganuo wake upoje na mahitaji yake? Suppose nina acre 10.
1. Eneo lina slope
2. Flat
Kila wanaoleta matangazo humu nikiuliza haya wanaingia mitini
Kwanza kabisa kuna drip za mboga mboga na drip za miti kama matunda,tofauti yake ni kwanmba hizi za mboga mboga zinakuwa na emitter tayari na zinakuwa na flow rate ndogo(mostly1.5l/h ,2l/h),hizi drip za miti zenyewe zinakuwa hazina emitter,emitter unaweka mwenyewe kulingana na spacing yako ya miti na flow rate unayohitaji(mostly 4l/h-8l/h) kwahiyo kwenye drip za miti inahusisha BLIND PIPE na BUTTON DRIPPER,
Mfano hapo una shamba la ekari moja lenye miti 75 hapo umetoa spacing ya mti na mti ni 8.9m lakini hujatoa spacing ya ya mstari mmoja wa mti na mwingine,lakini kimahesabu hapo spacing ya mstari mmoja na mwingine itakuwa 4000/(8.9*75)=6m,Chukua mfano hiyo ekari yako moja ina upana wa mita 50 na urefu wa mita 80 size ya blind pipe utakayo hitaji itakuwa (50/6)*80=667m na idadi ya button dripper itakuwa sawa na idadi ya miti yako ambayo ni 75. Baada ya hapo utahitaji vifaa vingine sasa kama connectors,Filter,control valves,air valves,punching tool,na mashine zingine za kazi.
Kwenye eneo kama lina slope au lipo flat kikubwa kinacho tofautisha kwenye ufungaji wa drip irrigation ni kwamba kwenye eneo lenye slope kali ni vyema kumwagilia kwa kutumia blocks ili kusaidia maji kufika eneo lote la shamba maana bila kufanya hivyo maji hukimbilia upande wa chini kwenye slope na mimea iliyo pandwa upande wa chini ndiyo hupata maji vizuri kulinganisha na ile iliyo pandwa upande wa juu,idadi ya blocks inategemeana na ukali wa slope yenyewe.Kwa upande wa shamba lililo flat hapa haihitajiki sana kugawa shamba katika block unaweza kumwagilia shamba zima(ekari moja) kwa mara moja provided tank lipo juu umbali gani ili kuweza kutoa pressure ya maji ya kutosha.Kwa ushauri,vifaa na kufungiwa mifumo hii ya umwagiliaji usisite kuwasiliana nasi kupitia,
+255752022108
ENG.Joseph O Mlang'a
Bsc. Agricultural Engineering
Sokoine University Of Agriculture
Nashukuru pia boss, blind pipe ni poly pipe za kawaida ila zinakuwa na diameter ya 16mm.Nitajitahidi kuweka mchanganuo wa gharama pia boss.Asante sana kwa majibu murua. Hiyo 8*9m nilimaanisha 8m umbali kati ya mti na mti within a row, 9m row distance ila nimekuelewa vizuri sana.
Blind pipe ni ya inch ngapi? Ni hizi poly za kawaida. Ungeweka mchanganuo wa gharama ingekuwa safi sana nijipange
Itakuwa vizuri sana kupata mchanganuo ukizingatia kilimo cha matunda southern highlands kinaelekea kupata umaarufu, wengi wanaparamia tu bila kufikiri swala la umwagiliaji na tatizo kubwa ni ukosefu wa taarifa sahihi za mifumo hii. Wataalam wengi wanajua mchanganuo wa green house na mboga mboga tuNashukuru pia boss, blind pipe ni poly pipe za kawaida ila zinakuwa na diameter ya 16mm.Nitajitahidi kuweka mchanganuo wa gharama pia boss.Kwa maswali mengine zaidi unaweza tu kuyaleta hapa tukaelekezana maana hatuwezi kuzungumzia kilimo biashara bila kuzungumzia kilimo cha umwagiliaji.
Ni kweli kabisa boss,tatizo ni kwamba nowadays kuna accountants,madereva n.k wazuri kabisa katika profession zao lakini wamevamia katika kilimo wakijifanya wataalamu wa kilimo lakini hawana utaalamu wala taarifa za kutosha na sahihi katika kilimo hasa kilimo cha umwagiliaji.Ni vyema kuwa makini pia.Itakuwa vizuri sana kupata mchanganuo ukizingatia kilimo cha matunda southern highlands kinaelekea kupata umaarufu, wengi wanaparamia tu bila kufikiri swala la umwagiliaji na tatizo kubwa ni ukosefu wa taarifa sahihi za mifumo hii. Wataalam wengi wanajua mchanganuo wa green house na mboga mboga tu
Ni kweli kabisa boss,tatizo ni kwamba nowadays kuna accountants,madereva n.k wazuri kabisa katika profession zao lakini wamevamia katika kilimo wakijifanya wataalamu wa kilimo lakini hawana utaalamu wala taarifa za kutosha na sahihi katika kilimo hasa kilimo cha umwagiliaji.Ni vyema kuwa makini pia.
[/QUOTE
Dah umeeleza safi sana engineer ila nakutafuta WhatsApp sikuoni biashara gani aise iyo bila WhatsApp unafanya. We mtu mkubwa sana aiseπππππKwanza kabisa kuna drip za mboga mboga na drip za miti kama matunda,tofauti yake ni kwanmba hizi za mboga mboga zinakuwa na emitter tayari na zinakuwa na flow rate ndogo(mostly1.5l/h ,2l/h),hizi drip za miti zenyewe zinakuwa hazina emitter,emitter unaweka mwenyewe kulingana na spacing yako ya miti na flow rate unayohitaji(mostly 4l/h-8l/h) kwahiyo kwenye drip za miti inahusisha BLIND PIPE na BUTTON DRIPPER,
Mfano hapo una shamba la ekari moja lenye miti 75 hapo umetoa spacing ya mti na mti ni 8.9m lakini hujatoa spacing ya ya mstari mmoja wa mti na mwingine,lakini kimahesabu hapo spacing ya mstari mmoja na mwingine itakuwa 4000/(8.9*75)=6m,Chukua mfano hiyo ekari yako moja ina upana wa mita 50 na urefu wa mita 80 size ya blind pipe utakayo hitaji itakuwa (50/6)*80=667m na idadi ya button dripper itakuwa sawa na idadi ya miti yako ambayo ni 75. Baada ya hapo utahitaji vifaa vingine sasa kama connectors,Filter,control valves,air valves,punching tool,na mashine zingine za kazi.
Kwenye eneo kama lina slope au lipo flat kikubwa kinacho tofautisha kwenye ufungaji wa drip irrigation ni kwamba kwenye eneo lenye slope kali ni vyema kumwagilia kwa kutumia blocks ili kusaidia maji kufika eneo lote la shamba maana bila kufanya hivyo maji hukimbilia upande wa chini kwenye slope na mimea iliyo pandwa upande wa chini ndiyo hupata maji vizuri kulinganisha na ile iliyo pandwa upande wa juu,idadi ya blocks inategemeana na ukali wa slope yenyewe.Kwa upande wa shamba lililo flat hapa haihitajiki sana kugawa shamba katika block unaweza kumwagilia shamba zima(ekari moja) kwa mara moja provided tank lipo juu umbali gani ili kuweza kutoa pressure ya maji ya kutosha.Kwa ushauri,vifaa na kufungiwa mifumo hii ya umwagiliaji usisite kuwasiliana nasi kupitia,
+255752022108
ENG.Joseph O Mlang'a
Bsc. Agricultural Engineering
Sokoine University Of Agriculture
Kejeli hazifai kama huna point pita kimya please uungwana ni vitendo.Dah umeeleza safi sana engineer ila nakutafuta WhatsApp sikuoni biashara gani aise iyo bila WhatsApp unafanya. We mtu mkubwa sana aise[emoji41][emoji41][emoji41][emoji846][emoji846]
Hapana mkuu sina maana iyo aise kama ulivonielewa uniwie radhi labda kama nitakuwa nimekosea ku Quote ila nia yangu nilitaka kujadili nae mambo ya msingi kwa njia ya picha kupitia WhatsAppKejeli hazifai kama huna point pita kimya please uungwana ni vitendo.
Most of the time tupo vijijini tukisaidiana na wakulima boss,Huku hakuna mtandao na network tunaipata kwa tabu sana.Ngoja hawa wakulima wakisha pata mtandao vizuri. wao wata tangulia kwanza kujiunga huko then sisi tutawafuata,Kifupi wakulima ndio wanaotuongoza sisi namna bora za kuwasiliana nao.Dah umeeleza safi sana engineer ila nakutafuta WhatsApp sikuoni biashara gani aise iyo bila WhatsApp unafanya. We mtu mkubwa sana aiseπππππ