Is 100kg of stones heavier than 100kg of cotton? Why? How?

SMU

kwani jibu si ndo sawa na tunapozungumzia meli ............

density ya meli inatokana na mass ya kila kitu kinachofanya meli hiyo (iron, steel, air, copper, .......) na ujazo wake ndo maana kwa ujumla meli inakuwa na density ndogo kuliko maji.

na cotton vile vile ..................kitu kitakachopatikana baada ya cotton kuwa compressed (which i dont have a name for or maybe that thing doesnt exist even ...) kiasi cha kuwa kikawa na ujazo sawa na jiwe lenye uzito kama kitu hicho, basi density ya kitu hicho kilichotokana na cotton itakuwa sawa na density ya jiwe hilo.
 
density ya meli inatokana na mass ya kila kitu kinachofanya meli hiyo (iron, steel, air, copper, .......) na ujazo wake ndo maana kwa ujumla meli inakuwa na density ndogo kuliko maji.
mkuu hii sentesi yako ni ya 'uongo'. meli inaelea juu ya maji siyo kwasababu ina 'density' ndogo kuliko ya maji. sababu pekee imezungumziwa na archemedes principle' ambayo inazungumzia umbile/shape ya hiyo meli pamoja na volumes of the water na meli! 'ship displaces a volume of water equal to the volume of the ship'...

BTW: kama density ya meli ni ndogo kuliko ya maji, inakuwa vipi shilingi inazama wakati meli inaelea na ilihali ukilinganisha uzito wa shilingi na meli ma ujazo wa maji utaona kwamba density ya shilingi itakuwa ni sawa na namba ndogo??
 


duh .....kazi nnayo kumbe!

....ukitizama kwenye post yangu sijazungumzia habari ya kuelea kwenye maji (kwa sababu nilijua hatujafika huko bado)

lakini kwa vile ungependa kufahamu hilo................i will be back na maelezo ya kwa nini meli inaelea na shilingi ina zama na kwa nini density ya meli ni ndogo kuliko ya maji, na kwa nini density ya kitu ikiwa kubwa kuliko ya kimiminika ilichomo inazama.

anza hapa

archmedes principle says any floating body displaces its own weight.

na weight inatokana na mass na gravity, na uhusiano wa mass na density na volume unaujua.
 
usiende mbali nipo hapa mtaalamu wa PHYSICS. According to archemedes: "when a body is partially or totally immersed in a fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of fluid displaced". Meli inaelea kwa sababu imetengenezwa kwa kiwango cha ku occupy certain water space ambayo its upthrust ni sawa au kubwa kuliko uzito wa meli. Kwa Kesi ya uzito 100kg za pamba na mawe zote ni sawa. kama umekubali zina same mass basi zitakua na same weight coz weight= mass x Gravity. Nadhani Mmenipata.
 
archmedes principle says any floating body displaces its own weight.

na weight inatokana na mass na gravity, na uhusiano wa mass na density na volume unaujua.
Archemedes principle states that a body immersed in a fluid is buoyed up by a force equal to the weight of the displaced fluid. The principle applies to both floating and submerged bodies and to all fluids, i.e., liquids and gases. It explains not only the buoyancy of ships and other vessels in water but also the rise of a balloon in the air and the apparent loss of weight of objects underwater. In determining whether a given body will float in a given fluid, both weight and volume must be considered
 

hapa kaka ni sawa na kuzungumzia relative density au weight per unit volume ya kitu ukilinganisha na ya kimiminika.

kitu chenye density kubwa kuliko kimiminika kilichomo hakiwezi kuwa na bouyancy ambayo ni kubwa kuliko weight yake. na itapelekea kuzama.

meli japo kuwa imetengenezwa kwa chuma lakini effective volume yake inajumuisha Air inayochukua nafasi kubwa ambayo ina mass ndogo sana na kupelekea density yake kuwa ndogo zaidi ya maji.

ndio unapokuta labda meli inapokuwa bandarini mathalan, inakuwa inaelea vizuri tu, lakini ikisheheni mizigo inazama. Kilichobadilika ni density ambayo ni mass per unit volume kwa sababu tumeondoa hewa nyepesi badala yake tumeweka mizigo mizito kwenye ujazo ule ule.

sababu hii ndio inayopelekea coin kuzama na meli kuelea.
 
Labda naomba tuanzie na huu msemo "unit volume". mfano tuna mawe yenye uzito wa 100 kg, na ujazo wa 200 cc ndani ya gunia lenye urefu wa mita 1. Je 'unit volume' hapa ni ipi?

'Unit Volume' maana yake ni kipimo kimoja cha ujazo. Inaweza kuwa sentimita, mita nk moja ya ujazo. Sasa 'density' ya kitu ni uzito wa kipimo kimoja cha ujazo wa hicho kitu. Kwa mfano mtu akikuuliza 'lita moja (kipimo kimoja cha ujazo) ina uzito gani?' kimsingi anakuwa anauliza density ya maziwa.
 
I find your statement not 'health' because, a ship floats on water because it displace the amount (volume) of water which is equal to the volume of the ship!!!! If the ship displaces the volume of water equal to its volume; won't it float?

Where did you learn your physics/chemistry? au ni kusahau tu!?Hebu fanya revision kidogo halafu tuendelee kujadili.


Please note that density is a physical property of matter. It is important that you appreciate this before we can have any fruitful discussion.
 
... (which i dont have a name for or maybe that thing doesnt exist even ...) kiasi cha kuwa kikawa na ujazo sawa na jiwe lenye uzito kama kitu hicho, basi density ya kitu hicho kilichotokana na cotton itakuwa sawa na density ya jiwe hilo.

Umenena vema. Essentially what you are saying is that you can no longer call that new thing cotton!
 
Kama nina mawe yenye uzito wa 100 kg na ujazo wa 20 cc.

  1. Je, density yake itakua 100kg/20cc = 5kg/cc. au
  2. density yake itakua ni 100kg/1cc = 100kg/cc????
 

Conversion rate ya troy pounds na avoirdupois pounds ishatolewa, tena uka i quote. Unataka niamini kwamba una quote vitu bila kuvisoma ?

Vipimo vinatumika kupima dhahabu na vito vingine vya thamani, ndiyo maana nikawa specific kwenye dhahabu, quote umeileta hapa wewe mwenyewe, again unanifanya niamini kwamba unaquote vitu bila kusoma.

Hili si darasa la Physics kusema lazima watu watumie SI Unit, mass will remain mass regardless of the mass unit you use. Na zaidi ya hilo, point yako ya SI Unit ingekuwa na nguvu kama ningejibu kwa pound bila kutumia SI Unit, nimetoa jibu katika SI Unit kwanza, baada ya hapo ndio nikaendelea kwenye pounds kuonyesha kuna dunia zaidi ya SI Unit, wewe unasema kuhusu SI Unit utafikiri sijatumia kabisa SI Unit. Huwezi ku handle a wide array of information.
 
Kama nina mawe yenye uzito wa 100 kg na ujazo wa 20 cc.

  1. Je, density yake itakua 100kg/20cc = 5kg/cc. au
  2. density yake itakua ni 100kg/1cc = 100kg/cc????
Kila sentimita moja ya ujazo ('cc') ya mawe yako ina uzito wa gramu 5,000. Hiyo ndio density.
 

Kiranga tunarudi nyuma mkubwa
haya hiyo troy pund bado inatumika kupima uzito wa madini. Haya nimekubali hii troy pund ni Standard.

Unachokosea na ulichoksea wewe ni kusema Pound ya pamba ni nzito kuliko pound ya dhahabu.

Ulivyoulizwa kwa nini Pound ya pamba ni nzito ukasema sababu moja inapimwa kwa troy pound na nyingine inapimwa kwa avidrous pound.

Swali. Kwa nini usipime uzito wa pamba na dhahabu kwa kipimo kimoja ?

hakuna sehemu wamesema huwezi kupima pamba kwa troy ppund. Hata hiyo dhahabu inaweza kuupimwa kwa kipimo chochote cha pound.sio kama wewe ulisema kuwa ni specific lazima dhahabu ipimwe kwa troy pound.

kwa kigezo chako ni rahisi kusema 1 Troy pound ya silver na 1 troy pound diamond zinazidiana uzito.

A kilogram is a kilogram, and it doesn't matter whether you are talking about a kilogram of stones or cotton.

On the other hand, a pound of gold is not the same as a pound of feathers. A pound of feathers is heavier than a pound of gold.
Hapo kwenye red ndo ulichemsha ulivyoulizwa kwa nini ukachemka zaidi sababu hukuelewa.


Ukweli ni kuwa gold inaweza kuwa measured hata in Avidrous pound , Kilograms., ton , etc hakuna sehemu wanasema Gold haiwezi kuwa measured in avoirdupois pound .

Niko sahihi???? kama siko sahihi nielimishe na ama niko sahihi take note of that.

Kwa hiyo basi ukitaka kulinganisha uzito wa pound of feather na pound of gold unachagua kipimo kimoja. Ni upotoshaji kusema pound of feather ni nzito kuliko pound of gold.

Vile vile kutumia standard unit of measuremnts ni muhimu kitu ambacho umefanya nakubali lakini umejicontradict na kuchanganya pale ulipoongeza mbwembwe. za hiyo hizo pound. Mimi nakubaliana na statement yao pale uliposema Kilogram is kilogrma lakini nakataaa kata kata pale uliposema pound ya manyoa ni nzito kuliko pound ya dhahabu.
 
 
Sio kweli a pound of feather is heavier than a pound of Gold.

Gold can be measured in any pound unit iwe ni Troy pound, Avoirdupois pound , International Pound
etc ngoja nikutafutie link ndo uelewe

Sasa unagundua kuwa ni vipimo viwilili tofauti na unaambiwa ukinunua dhabau uilizia imepiwa kwa Kipimo kipi. Kumbe sio lazima dhahabubu zote ziuzwe kwa troy pund zinaweza kuuzwa hata kwa kipimo cha Avoirdupois. Upo hapo


Narudia kusema sio sahihi kusema. feather ni heavier than Gold given they are of same weight

Ukweli ni kuwa
troy pound is lighter than an avoirdupois pound
. Sasa wewe umegeneralise kuwa gold is lighter than Feather.
Mfano mwingine

Niseme 1 gram is ligher than I kilogram. yes this is true. lakini siwezi kulinganisha kitu kilichopimwa kwa gram na kile kilichpimwa kwa kilogram bila kufanya conversion. kulinganisha manyonya yaliyopimwa na gram na sukari iliyopimwa kwa kilogram ilabidi inabidi moja iwe converted kwenda kwenye kipimo cha nyenzake.
 
Therefore, 100,000 g of stones = 100 kg of cottons....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…