Swali la kwenye thread hii ni rahisi sana.....lakini sijui nani amelipinduapindua mpaka imefika mahali watu wanashambuliana!
Hii ni testimony nyingine ya triviality ya wasomi wa Kitanzania. Wanapoteza nguvu na muda wa kufuatilia vitu ambavyo majibu yake ni mepesi.
Get real jamani.....seriously.