zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahahhaha kiranga naona unafanya delay tactics ili mada ife sasa si nlishakubali makosa unachokimbia ni nini??Ukikosea, usiwe mtu rahisi sana kusema umekosea padogo au pakubwa.
Acha wengine wanaoona umekosea waseme hivyo.
Ikibidi wewe sema umekosea pakubwa tu, halafu wao wakiona padogo, wakwambie padogo.
Ni bora zaidi kuliko wewe kung'ang'ania umekosea padogo, kumbe wenzako wanaona pakubwa.
Mpaka hapa nishakuona hujui kujadiliana.
Wwe jibu swali methodology gani ulitumia kumsaka huyo MUNGU alafu ukagundua ni fiction na haexist.....
Ni sawa na mmi niseme heaven or hell doesn't exist ilihali nimekaa sebuleni tu?? Itawezekana kweli??? Ila ntaweza kuprove kwa kutumia methodology ya kujiua ili nikishakufa ndio nijue kama Heaven ama hell ipo si ndio maana yake
Sasa unachokifanya hapa ni sawa na mfano wangu kuwa unataka mtu aprove kuwa hell ipo ilihali hujawahi kutumia right approach kuexperiment kama iko ama lah yaani kufa ili akagundue ukweli kama hell ipo am lah
So nakusubiri uniambie ulitumia methodology gani kuinvestigate existence ya huyo MUNGU ambaye unaconclude uligundua hayupo