Is D’ Banj Having Oral Intercourse With This Female Fan On Stage? [see Photo]

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Is D’ Banj Having Oral Intercourse With This Female Fan On Stage?

kama ni mchumba wako au mke wako anafanya hivyo in the name of ushabiki utafanyaje?
 

Is D’ Banj Having Oral Intercourse With This Female Fan On Stage?

kama ni mchumba wako au mke wako anafanya hivyo in the name of ushabiki utafanyaje?

Vitu vingine ni kutafutiana tu murder case. ... ! Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Vitu vingine ni kutafutiana tu murder case. ... ! Money Stunna

nakumbuka mwaka jana kuna demu alipigwa na jamaa yake walienda kwenye show ya diamond kahama,harafu demu akapagawa akaenda kubusu kifua cha diamond alipigwa balah ngoja nikupe vile ilikuwa niache maneno mingi

[h=1][/h]
Binti akibusu kifua cha diamond​


demu mwenyewe ndio huyo.

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake

ndio kama hivyo mkuu




 

Safi sana angemtoa na jicho kabisa iwe kumbukumbu ya kudumu ya kubusu kifua cha Diamond
 
baada ya kichapo icho,jamaa akamuacha huyu ndio ikawa mwisho wa mapenzi yao
 
mh ushabiki mwingine ni kuvuka mipaka.....lakini mpaka sasa sijaona kama huyu binti alifanya chochote.....ni kama anachungulia hivi....
 
ka kwel huyo ndo mke wangu halafu kafanya hivo? lazma kuna mtu angeuwawa apo(my mke).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…