Is Erick Omondi provoking the holy spirit?

Mleta mada huna adabu, kutuwekea matusi hapa ndio nini? Huu ujinga wenu muuache huko huko Instagram.

Moderator edit hiyo thread.
 
 
kikubwa ni kwamba huu unaoitwa upuuzi ingekuwa upande wetu, muda huu watu tungekuwa barabarani tunaandamana na jamaa kashatangaziwa nanii ile adhabu ya kukatwa kichwa. Wenzetu hawataifuatilia, wataipotezea tu. Peace and Love
 
Ana bahati huyu omondi ingekuwa ile dini nyingine angekoma. Mbona kuna vingi vya kuchekesha kuliko haya mambo ya imani sikujua ka kafulia hivi
Tukumbushane mwakani majira kama haya uone atakuwa wapi! Mungu hadhihakiwi
 
kikubwa ni kwamba huu unaoitwa upuuzi ingekuwa upande wetu, muda huu watu tungekuwa barabarani tunaandamana na jamaa kashatangaziwa nanii ile adhabu ya kukatwa kichwa. Wenzetu hawataifuatilia, wataipotezea tu. Peace and Love
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji106]
 
Wa Africa tupo sensitive sana kuhusu dini. Mi nilijua ni waislamu tu kumbe hata wakristo ni yale yale. Mbona wazungu wenye dini yao hawako hivi sasa nyie povu la nini? Ni kichekesho tu
 
Poa bob Kweli
 
Binafsi ni mkristo...... ikiwa mwigizaji kutokea uiengereza, Bryan Deacon aliyeigiza ktk filamu ilyojipatia umaarufu duniani kote ya the passion of Christ hatutamuona kuwa alidhihaki kwa alichokifanya yaani kuigiza maisha ya Yesu basi kumlaumu eric omondi kwa scene moja itakuwa ni unafiki Mkubwa ambao sisi wakristo tutakuwa tunaufanya. Ikumbukwe kuwa makanisani na ktk machapisho mengi ya vitabu vya wakristu picture ya Bryan Deacon hutumika kumwakilisha Yesu na wengi hudhani kuwa ndye Yesu. Itakumbukwa kuwa Bryan Deacon ni msanii wa filamu km walivyo akina Ray kigosi, JB, William Smith na wengine wengi ambao unaweza kuwataja. Ikumbuke kuwa wakati flani wayahudi walimtia ktk scandal kubwa sana baada ya msanii huyo wa filamu kugundulika kuwa hauishi ukristu kwani alikuwa ni mlevi wa kupindukia. Na hata hvyo Bryan Deacon alishawaomba wakristu kutotumia picture ama mfano ulio wa sura yake kwani yy sio masihi na pale alikuwa kazini.....lastly eric emondi amemuigiza mwizi msalabani na sio masihi km mnavyodhana.... I declare interest kuwa kwangu mm hii ndyo the best version of kuliko jana. Kabla haujamlaani erick basi anza kumlaani Bryan Deacon na tena shinikiza picture zake zisitumike makanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…