Is God the source of evil?

Is God the source of evil?

isotaaaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
1,944
Reaction score
824
Kama mungu aliumba binadamu na vitu vyote, basi mungu alihusika kumuumba shetanii.

Kwahiyo asingekuwa shetani kusingekuwa na dhambii?
 
kwanza km hujui yofauti ya mungu na Mungu ..utajuaje hata uwezo wao?mnajidanganya sana ila nkukosa maarifa na neema ya kufubuliwa vitabu vitakatifu mkaelewa....ht anayezaliwa akakuta wanaabudu nyoka nae anaamini yupo sahihi kumbadilisha ni ngumu
 
Kama..mungu aliumba binadamu na vitu vyote..basi mungu alihusika...kumumbu shetaniii..kwahyo asinge kuwa shetanii kusingekuwa na dhambii..?
Technically mungu ndiye mwenye maovu yote...! Actually ameshasema mwenyewe kuwa yeye ndiye anayeleta maovu na maumivu yote yanayotokea duniani.. ! In fact ukiangalia kwenye bible, ni wazi kuwa yeye (mungu) ndiye aliyeua watu wengi zaidi (ambao ye mwenyewe anakiri kuwa anawapenda ) kuliko shetani...! Its like shetani anaonewa kabisaaa...![emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
kwanza km hujui yofauti ya mungu na Mungu ..utajuaje hata uwezo wao?mnajidanganya sana ila nkukosa maarifa na neema ya kufubuliwa vitabu vitakatifu mkaelewa....ht anayezaliwa akakuta wanaabudu nyoka nae anaamini yupo sahihi kumbadilisha ni ngumu
Hayo nayo mnayaita ni maarifa... duh
 
Technically mungu ndiye mwenye maovu yote...! Actually ameshasema mwenyewe kuwa yeye ndiye anayeleta maovu na maumivu yote yanayotokea duniani.. ! In fact ukiangalia kwenye bible, ni wazi kuwa yeye (mungu) ndiye aliyeua watu wengi zaidi (ambao ye mwenyewe anakiri kuwa anawapenda ) kuliko shetani...! Its like shetani anaonewa kabisaaa...![emoji33] [emoji33] [emoji33]
masonic view of satan they still call him lucifer na wanaamini alionewa saana na Mungu. so wamebadili equation Shetani ndio saafi. through subliminals na werevu wachache shetani kupitia agents wake kajipatia watetezi wengi kwa kujua au kitokujua. kujua nn kilitokea kuhusu shetani na dhambi kunahitaji unyenyekevu uliotukuka.

blind instruments kazini
 
Hivi shetani na yule jamaa wa 666 ni wamoja or tofauti ?
 
Noticed..![emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kwa mjibu wa bibilia ,yes.
Murderous God said to His murderous Jews: You go down there and kill every man, woman and child or I will do to you what I thought to do to them.
Numbers 33:55-56 God said: If you do not drive out the inhabitants of the land, I will do to you what I thought to do to them.

In the Bible, God ordered Moses and Joshua to take peoples’ lands and to murder every man, woman and child in the process.

Imagine you have no home of your own. A "STRANGER" authoritatively tells you that he has chosen you and that he will give you a home of your own. You want to believe him. He takes you to a distant land and points out a house to you. He now says, "There is the home I give you." You look and you see people in the house. He says, "Now, you go into that house and kill every man, woman and child in that house or I will do to you what I thought to do to them."
 
Hivi shetani na yule jamaa wa 666 ni wamoja or tofauti ?
hilo wanajua wao, Sisi kazi yetu ni kusoma na kuitafakari bibilia kuiamini na kuifurahia.
Hata huu ujanja ujanja wa kumpinga, kumdharau na kumdharirisha Mungu wengi huwa hawaelewi wanachofanya (Blind instruments) na wengine wanatafuta umaarufu mitandaoni wengine pia ni stress na frustration za maisha wengine ni Makusudi huku wanajua wanachokifanya na nini kiko nyuma ya movement yao, Na sio vitu vikubwa vya kushangaza maana tuliambiwa hata kabla ya Shetani Kuleta changamoto zake.

Kitu nilicho na uhakika nacho sio Wapinga Mungu, wapinga bibilia, Ethiests, Evolutionists Wakristo au imani yoyote ile inayopingana na Mungu watakao ionja hukumu kwa kuonewa. Wote watakili kuwa Hukumu ile ni ya Kweli na ya haki wakiongozwa na Shetani ambaye atawakana wote na kila mtu kubeba mzigo wake.

No excuse.
 
Haya mambo yangetokea karne hii mosses na kundi lake wangeonekana machizi.. No! Actually hata kipindi hicho walionekana machizi...!
 
hilo wanajua wao, Sisi kazi yetu ni kusoma na kuitafakari bibilia kuiamini na kuifurahia.
Hata huu ujanja ujanja wa kumpinga, kumdharau na kumdharirisha Mungu wengi huwa hawaelewi wanachofanya (Blind instruments) na wengine wanatafuta umaarufu mitandaoni wengine pia ni stress na frustration za maisha wengine ni Makusudi huku wanajua wanachokifanya na nini kiko nyuma ya movement yao, Na sio vitu vikubwa vya kushangaza maana tuliambiwa hata kabla ya Shetani Kuleta changamoto zake.

Kitu nilicho na uhakika nacho sio Wapinga Mungu, wapinga bibilia, Ethiests, Evolutionists Wakristo au imani yoyote ile inayopingana na Mungu watakao ionja hukumu kwa kuonewa. Wote watakili kuwa Hukumu ile ni ya Kweli na ya haki wakiongozwa na Shetani ambaye atawakana wote na kila mtu kubeba mzigo wake.

No excuse.
Samahani naomba uwainclude waislamu, wayahudi, wahindu nk. Kos wote wanampinga kristo bwana wako..!
 
bila samahani kila mwanadamu atasimama mbele ya Hukumu bila kujali unampinga, unamjua au humjui Mungu.
Hiyo ndiyo Dry Truth which is beyond truth table
 
bila samahani kila mwanadamu atasimama mbele ya Hukumu bila kujali unampinga, unamjua au humjui Mungu.
Hiyo ndiyo Dry Truth
So mungu wako na mungu wa hao jamaa wengine ni mmoja or tofauti...?
 
Back
Top Bottom