Is Harmonize a yesterday news?

Umeongea kweli hicho kitu nimekiwaza jana. Ni kama anapotea taratibu halafu muda huo huo kwa kasi.
 
Kwa kiwango alichokuwa ametengenezwa wasafi ilitakiwa management ingejipanga kuanzia pale,kumuendeleza zaidi kuanzia pale. Nikiwa na maana hata ngoma mbovu ilitakiwa ibambe tu. Ona alikotoka,ile ngoma mbovu ya BABA LAO,bado ikabamba. Shida ninayoiona kwa hii management akilini mwao wamejaa kupambana,hapo watapotea. Wenyewe wangejipanga kufanya kazi,halafu ingekuwa ndio mimi mamuongoza ningemwambia abadirishe radha kidogo kutoka ya wasafi aje na AFRO POP halisi. Naiona hii management baadae itamterekeza kijana. Lakini kwa ujumla kijana bado yuko vizuri,tutegemee mazuri baadae wakijipanga,kinachombeba umri bado unaruhusu kufanya mambo mazuri. Akwepe tu kutumbukia hata kwa kuonja tu unga
 
unapoalibu ni pale unaongea vitu seriously alafu unacheka badala ya kulia
 
Kwahiho unampima kwa views za youtube kweli? Hujui kama views zinanunuliwa?
Watu bado mmelala usingizi kwamba Diamond views ananunua? Mnachelewa tu. Kitu watu wasichokijua Diamond akitoa ngoma hata iwe mbovu,mtu lazima ataichungulia ajue ni ngoma ikoje,ndio views zinaongezeka hapo. Zaidi ya yote ikitaka kujua jinsi ngoma za Diamond zinavyovuma. Ikitoka ngoma tu,kila mtaa utasikia hiyo ngoma inapigwa tena kwa kurudiwa rudiwa,hata iwe mbovu. Ona BABA LAO,watu walisema mbovu,lakini ona inavyopigwa kitaa,achilia mbali hawa wanaingiza nyimbo kwenye frash,maana hao ndio saana,mpaka maharusini inapigwa sana. Sasa linganisha vile zinavyopigwa kitaa,ndivyo na views zinavyokuwa. Sifikirii kabisa kwamba kuna kununua views
 
Wabongo mnafeli Sana yaani kwa akili zenu mnadhani YouTube ndo platform ya kujua msinii kahit au la wakati ukweli ni kwamba duniani mziki unapimwa na streaming.
Nenda kwenye Spotify, iTunes, Shazam, na zingine ndo ujue msanii wako kafika wapi
Angalia shows anazofanya anajaza wapi wakina davido, Wizkid na barnaboy wanajaza arena 02 unafanisha na msanii anaejaza viwanja vya posta
Wenzake wanapandishwa na kina Drake, cardi B na chriss brown jukwaa moja unafananisha na msanii anaepandisha wakina mandojo na domokaya
 
Kaka daaah basi tuu hiyo nizaidi ya fact .. nimeshasema sana views ndonini .. sasa Nigeria wanatusuaa bila view sisi tunashikiliaa .. tu ingia YouTube uonee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli ni mzee mkavu hata ubongo wako umekauka nakwambia rudi memkwa.
Diamond ft mr flavour hii ndonyimbo yenywe view wengi Tanzania million 56 ndani ya miaka minne .. inafatiwa nanyimbo ya harmoniz ft diamond hii ina million 55 ndani ya mwaka mmoja .. tukifatilia YouTube kama kigezochenu chakwanza jibu mnaloo .. viewers million 800 hakuna msanii Africa aliofikishaa acha kusiria ujingaa mitoto yajuzi.. inaongea tu million 800 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamsifia mtuu mpaka unapitilizaa mkuu
 
Siwezi kuendelea kubishana na wewe,nimeshajua kinachokutesa ni gereous tu. Watu wa aina yako mnateseka bila sababu. 1. Hakuna mahala nilipoongelea you tube ndio kipimo,soma vizuri tred yangu. 2. Kuhusu kujaza arena,hiyo tulishaiongea sana hapa siku mwenzio ameleta tred ya wizkid kujaza arena,nikamjibu tena kwa video Diamond alivyojaza huko ujerumani na kwingineko. Shida wivu unawaua na mtakufa kwa pressure Diamond anazidi kupaa,mwisho upasuke
 
Kaka gereous nikitu chakawaida ebu tutajiee mfano wa arena moja ya diamond alioijaza.. maana kwa mimi navyojua mimi huko Germany ukimbi wakuingia watu 1000 hivi arena tunazoziongerea sisi ni kwanzia 200000 kwenda juu mkuu ..
 
Kaka gereous nikitu chakawaida ebu tutajiee mfano wa arena moja ya diamond alioijaza.. maana kwa mimi navyojua mimi huko Germany ukimbi wakuingia watu 1000 hivi arena tunazoziongerea sisi ni kwanzia 200000 kwenda juu mkuu ..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ukimbi wa kitoto mkuu ... huo ukumbi wakuingiza watu 1000 tuletee hata rema au teni wanajaza fasta tu bila wasi ...
 
Leta data naona ujanielewa mimi na maanisha video zake zote ndio number moja afrika sawa
 
Kaka gereous nikitu chakawaida ebu tutajiee mfano wa arena moja ya diamond alioijaza.. maana kwa mimi navyojua mimi huko Germany ukimbi wakuingia watu 1000 hivi arena tunazoziongerea sisi ni kwanzia 200000 kwenda juu mkuu ..
Diamond ameshajaza sasa unataka ajazaje..?
 
Hela wanazo sasa.. Poa mkuu nakucheki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…