Pesa mama
pesa inamfanya hata mzee amsalimie mtoto mdogo kule kwetu
It is yooote ulotaja... Wapo wa aina tofauti
Regards to my pal...
- Earned - By working hard, haijalishi ni fisadi, jambazi ama tu loyal worker e.g Oprah Winfrey
- Acquired - Alitumia babu mpaka mjukuu, e.g Prince Charles (Mimba tu mamake na jamii ilijua mtoto atakua High Class)
- Contended - What can i say hapa zaidi ya kusema e.g Tigger Woods, Drogba na wengine kibao!!
Unajua AshaDii, kuna kitu nakiona lakini sijapata maneno sahihi ya kuelezea. Watu tumeanza kujiweka kwenye high class kwa vigezo ambavyo naona havina mantiki, mfano who are u dating, vipodozi, na kuongea kingereza na kila mtu hata asiyekijua. Inaniconfuse sana kuelewa hii dhana ya high class
Salam nafikisha.
Realy? Mbona huku kwetu tunajiita high class kwa kubeba pochi ya designer tu.
Kwa uelewa wangu kwanza kuna tofauti baina ya watu wa high class, celebrities na rich
Kuwa high class ni process ya muda mrefu itakayokufanya uwe na manners fulani, ideology fulani pamoja na traditions fulani.