OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mara kadhaa humu humu JF wamekuja watu wanatuambia HIV ni kama mchezo fulani tu wa wazungu kutaka kuitia hofu dunia. Ni kama ilivyokuwa Corona Covid 19 walivyotuchezea akili.
Maoni haya yanakuwa magumu kuyaamini kwa sababu tumeshaelimishwa vinginevyo huko awali tena kwa miaka mingi. Bahati mbaya katika miaka yote hiyo hayakuwepo mawazo kinzani mithili ya yaliyokuwepo kipindi cha Covid
Lakini tusipuuze,tuwasikilize wadau wanaokuja na hoja hizo. Ni kwa vipi HIV ni "mind game". Mkishindwa kueleweka basi hamna hoja,tunabaki kuamini kwamba HIV ni gonjwa hatari ambalo halina chanjo wala dawa ya kuponya.