OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamaa alizimishwa huyuDeception njoo huku kumenoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hizo ARV kuzitumia nazo ni mateso makubwa,tuwe makini.MTAFUTE MWENYE NAO AFU UFANYE NAE BILA KINGA. BAADA YA HAPO KAA UKIANZA KUUGUA USITUMIE ARV. NADHANI UTATUPA MREJESHO MZURI ZAIDI.
KWA UFUPI ULE UGONJWA UPO NA HAUFAI, KINACHOKUFANYA UONE WA KAWAIDA NI MATUMIZI YA ARV KWA WAATHIRIKA.
We endelea kukamia tu utakuja na nyuzi za kuulizia aina za malimao.Mara kadhaa humu humu JF wamekuja watu wanatuambia HIV ni kama mchezo fulani tu wa wazungu kutaka kuitia hofu dunia. Ni kama ilivyokuwa Corona Covid 19 walivyotuchezea akili.
Maoni haya yanakuwa magumu kuyaamini kwa sababu tumeshaelimishwa vinginevyo huko awali tena kwa miaka mingi. Bahati mbaya katika miaka yote hiyo hayakuwepo mawazo kinzani mithili ya yaliyokuwepo kipindi cha Covid
Lakini tusipuuze,tuwasikilize wadau wanaokuja na hoja hizo. Ni kwa vipi HIV ni "mind game". Mkishindwa kueleweka basi hamna hoja,tunabaki kuamini kwamba HIV ni gonjwa hatari ambalo halina chanjo wala dawa ya kuponya.
Watu mbona wanajisumbua na arv...watu nawadunda bila arv wao nikuangia diet yao tuuHata hizo ARV kuzitumia nazo ni mateso makubwa,tuwe makini.
Wakiume wawili na wakike watatu ila aliponipa simulizi yake ilifanya niamini kunamakosa kuhusu aids na mfumo wake. Tutakuja endelea ngoja ninywe kwanza bia washikaji
Ubeberu ni unyama- Julius K NyerereMara kadhaa humu humu JF wamekuja watu wanatuambia HIV ni kama mchezo fulani tu wa wazungu kutaka kuitia hofu dunia. Ni kama ilivyokuwa Corona Covid 19 walivyotuchezea akili.
Maoni haya yanakuwa magumu kuyaamini kwa sababu tumeshaelimishwa vinginevyo huko awali tena kwa miaka mingi. Bahati mbaya katika miaka yote hiyo hayakuwepo mawazo kinzani mithili ya yaliyokuwepo kipindi cha Covid
Lakini tusipuuze,tuwasikilize wadau wanaokuja na hoja hizo. Ni kwa vipi HIV ni "mind game". Mkishindwa kueleweka basi hamna hoja,tunabaki kuamini kwamba HIV ni gonjwa hatari ambalo halina chanjo wala dawa ya kuponya.
Iyo story ya kifo na kifua kikuu nmeipenda[emoji4]Safi kabisa. Kuna watu wanamacho ya kiroho hapa duniani ngoja nkkupe mfano
Katika nyimbo flani za bongo flovour kuna mziki wa sold ground famiry unaitwa mechi kali. Huu ni mziki ukimaanisha kati ya tiba na kifo katika mechi na wachezaji ni madawa na magonjwa. Mechi ilipigwa mpaka dakika za mwisho ikiwa ni droo. Timu ya kifo ikamtoa kifua kikuu na kumweka ukimwi ndo kafunga goli dakika ya 90 na mpira ukaisha
Sasa jiulize kama we nikocha wa timu ya kifo nikweli waweza mtoa kifua kikuu katika mpambano huku ukiwaacha akina kaswende ambao wanatibiwa kwa majani ya mpela na mizizi ya mipapai tu
Mbona aliyetolewa ni hatari kuliko waliowacha katika mchezo japo aliyeingia ni hatari zaidi?
Nikweli kifua kikuu kiliacha kuuwa ndo kaletwa aids kuziba pengo? Haya ni macho ya kiroho nawambia japo ule ulikuwa wimbo tu wa kutungwa sasa twende hapa
Kuna mshokaji wangu niko nae huku pande za bukoba visiwani japo kimwonekano alishapoteza matumaini ya kuishi ila yeye ni mwenyeji wa kanyigo bukoba.
Kwa kifupi ni kwamba katika familia yao amebaki yeye tu kwa watoto watano. Wakiume wawili na wakike watatu ila aliponipa simulizi yake ilifanya niamini kunamakosa kuhusu aids na mfumo wake. Tutakuja endelea ngoja ninywe kwanza bia washikaji
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app