Is HIV really causes AIDS?

Is HIV really causes AIDS?

Obi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Posts
374
Reaction score
79
Wanabodi,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna wanaosema HIV Virus ndio kisababishi cha ugonjwa huu hatari.
Pia kuna debate pia kuwa AIDS haiambukizwi kwa kushirikiana kimwili kwa jinsia tofauti. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba AIDS/UKIMWI inatofautiana kulingana na sehemu (Western World and Sub Saharan World). Western World AIDS is a homosexual (Gay) related desease while in Subsaharan World AIDS is heterosexual related desease??? na ndio hapo watu wanajiuliza ni kwa nini iwe hivyo?
Nimeambatanisha documentary inayoelezea kwa urefu sana hii ishu. Ni ndefu kidogo na inahitaji muda usiopungua saa mbili.

HIV=AIDS: Fact or Fraud? A Stephen Allen film. - YouTube

Wanasayansi wengine wanasema kuwa hakuna mtu yeyote ambaye amewahi ku isolate HIV Virus (Ingawaje kuna Wanasayansi walioshinda Npbel Prize kwenye hili).
Nimeambatanisha pia Documentary hapa kuhusu hili.

The Emperors New Virus? - An Analysis of the Evidence for the Existence of HIV (Documentary) - YouTube

Lengo langu sio ku provoke wagonjwa wa AIDS bali lengo ni kuanzisha mjadala utakaosaidia kuleta suluhisho la kudumu litakalosaidia watu wenye kuumwa na huu ugonjwa.
 
UKIMWI upo na unauwa kama kawa! Wewe huna ndugu kafa kwa ngoma? Hizo porojo nyingine waachie wenyewe!
Ila da! naona kama umebananga kizungu kwenye heading yako! Ungechapa kimatumbi tu!
 
Kama Hauamini nenda Kimboka,Rozana,Kona Baa,Jolly,Ohio gonga dry tu kwa mda wa miezi sita halafu nenda kapime hospital ukikutwa ni HIV+ pima Kinga yako kabla halafu fuatilia COntents za Kinga then uje kutupa jibu kama ni kweli zinasababisha au la usitegemee riport za wazungu nawewe unaweza fanya practical......
 
UKIMWI upo na unauwa kama kawa! Wewe huna ndugu kafa kwa ngoma? Hizo porojo nyingine waachie wenyewe!
Ila da! naona kama umebananga kizungu kwenye heading yako! Ungechapa kimatumbi tu!
Free World
Kama umenisoma vizuri sijasema kuwa UKIMWI haupo. Ninachouliza ni kweli kinasababishwa na HIV Virus? Kuna study zimefanyika kwa Mbwa wakakuta asilimia 50 ni HIV positive he na hilo unasemaje?
By the way vipimo vinavyotumika kupima HIV sio vya kweli. Kama wewe sio Daktari muulize Daktari yeyote atakupa jibu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Obi kuna documentary moja inaitwa house of Numbers, House of Numbers, Full Documentary - YouTube wanaelezea ukimwi ulivyo-business ya watu, mfano Rais wetu alipoingia madarakani alihamasisha upimaji wa ngoma nchi nzima, kwa nini, ili apate namba kubwa yakuombea pesa za ukimwi ambapo kwenye mashirika hayo ya ukimwi chunguza ni kina nani wameajiriwa huko.

Jambo la msingi si kujua kama HIV inasababisha ukimwi au la, lakini jambo la msingi ni kupata logic iliyopo kwenye hizi documentary kuwa ugonjwa wa ukimwi ni biashara ya mataifa makubwa pamoja na wakubwa zetu mfano, Mkapa foundations and others you can name. Vilevile kwenye hii documentary ya House of numbers wanaonyesha kuwa Ugonjwa wa Ukimwi unaua kwa sababu ya kukosa lishe, na kuwa kama mtu atazingatia lishe safi bila kutumia hizo dawa za ARV (naomba wale wanaotumia waendelee nisije nikapotosha) uka-maintain msosi safi, ukipimwa uwezekano wa kukutwa hauna tena HIV ni mkubwa. Ukitaka kujua ukweli wa jambo hili kumbuka kesi ya Zuma alipotembea na yule dada mgonjwa wa Ukimwi ambapo alisema baada ya kumaliza alikimbia bafuni na kuosha kwa sabuni ya Detto. vile vile kuna jamaa maarufu sana hapa nchini ambaye tangu anaingia madarakani alituhumiwa kuwa na huo ugonjwa na ilikuwa akianguka watu wanasema CD4 zimepungua, lakini yupo hadi leo na amenawili kweli kweli.

Kumbukeni, waliosoma ni chakula cha wenye pesa. Ushauri angalia documentary hizo, pata ujumbe fuata maelekezo. Hata Madaktari wanakuambia kuwa possibility ya kupata Ngoma ni kubwa zaidi mtu akifanya ngono kinyume na maumbile, utafiti mgumu ni kuwauliza ndugu zetu walioathirika kama waliwahi kufanya ngono kinyume na maumbile? naomba radhi kwa sentesi yangu hii ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mpangamji hiyo documentary nimeiangalia sana, ila nilisahau kuiambaanisha kwenye hiyo post ya mwanzo. Nakubaliana kwa asilimia kubwa sana na wewe kwamba huu ni mradi mkubwa kwa watu wenye pesa zao.
Ninatofautiana na wewe kwenye utumiaje wa hizi dawa. Kama umeangalia vizuri documentary ya kwanza kuna dawa inayoitwa AZT ambayo ni aina mojawapo ya ARV wengi wa waliotumia (Kwenye hiyo documentary) wanasema wameanza kuumwa kwa kutumia hizo dawa???? Kuhusu suala la lishe hilo linajulikana mgonjwa yeyote anahitaji lishe iliyobora aweze kutengeneza kinga ya kupambana na ugonjwa unaomsumbua.
Kuna study zimefanywa kwa Mbwa wakagundua kuwa asilimia karibia 50 ya Mbwa waliopimwa wamekutwa ni HIV - Positive. Reference Strandstrom H, et al 1990 Studies with Canine Sera which Recognise HIV Structural Proteins, Cancer Research
Si hilo tu In another report, 13% of Amazonian Indians who do not have AIDS and who have no contact with people outside their own tribe tested HIV positive. Reference HIV & AIDS - Is a Positive Western Blot Proof of HIV Infection?
Waswahili wana sema akili kumkichwa
 
Last edited by a moderator:
Kama Hauamini nenda Kimboka,Rozana,Kona Baa,Jolly,Ohio gonga dry tu kwa mda wa miezi sita halafu nenda kapime hospital ukikutwa ni HIV+ pima Kinga yako kabla halafu fuatilia COntents za Kinga then uje kutupa jibu kama ni kweli zinasababisha au la usitegemee riport za wazungu nawewe unaweza fanya practical......
Mkuu king kong unaposema usitegemee report za Wazungu una maana ipi hasa?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna wanaosema HIV Virus ndio kisababishi cha ugonjwa huu hatari.
Pia kuna debate pia kuwa AIDS haiambukizwi kwa kushirikiana kimwili kwa jinsia tofauti. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba AIDS/UKIMWI inatofautiana kulingana na sehemu (Western World and Sub Saharan World). Western World AIDS is a homosexual (Gay) related desease while in Subsaharan World AIDS is heterosexual related desease??? na ndio hapo watu wanajiuliza ni kwa nini iwe hivyo?
Nimeambatanisha documentary inayoelezea kwa urefu sana hii ishu. Ni ndefu kidogo na inahitaji muda usiopungua saa mbili.

HIV=AIDS: Fact or Fraud? A Stephen Allen film. - YouTube

Wanasayansi wengine wanasema kuwa hakuna mtu yeyote ambaye amewahi ku isolate HIV Virus (Ingawaje kuna Wanasayansi walioshinda Npbel Prize kwenye hili).
Nimeambatanisha pia Documentary hapa kuhusu hili.

The Emperors New Virus? - An Analysis of the Evidence for the Existence of HIV (Documentary) - YouTube

Lengo langu sio ku provoke wagonjwa wa AIDS bali lengo ni kuanzisha mjadala utakaosaidia kuleta suluhisho la kudumu litakalosaidia watu wenye kuumwa na huu ugonjwa.

This debate is much longer than we all think. i totally agree with you as I have been in the HIV/AIDS industry for quite some time now. i.e. researching, capacity building and preventive measures implementations.
 
  • Thanks
Reactions: Obi
To start let me ask some few questions . who are the victim of HIV/AIDS? to rephrase my question who are strongly affinity to HIV/AIDS viruses ? think of races ? we have heard that some guys are abnormal and are resistive to infections, who are these? whey are they abnormal? what makes them abnormal? why not using their abnormalities in developing preventions against the disease?

No matter where the disease came from , Is there anybody having algorithm for the disease? i.e. something which clearly explain mechanism of HIV/AIDS viruses for decoding ?

what about economic status of those who are most affected? how many guys are permanently employed in HIV/AIDS industry? how much are they paid? where are they coming from?

assume we get cure of the calamity today how many will find themselves out of job?

Mwenye macho haambiwi tazama.
 
This debate is much longer than we all think. i totally agree with you as I have been in the HIV/AIDS industry for quite some time now. i.e. researching, capacity building and preventive measures implementations.
I agree with you PgSoft2008
Even Dr. Montagnier (The noble prize winner and the discover of HIV Virus) agreed that he never managed to isolate HIV Virus. Reference: HIV & AIDS - Interview Luc Montagnier
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mpangamji hiyo documentary nimeiangalia sana, ila nilisahau kuiambaanisha kwenye hiyo post ya mwanzo. Nakubaliana kwa asilimia kubwa sana na wewe kwamba huu ni mradi mkubwa kwa watu wenye pesa zao.
Ninatofautiana na wewe kwenye utumiaje wa hizi dawa. Kama umeangalia vizuri documentary ya kwanza kuna dawa inayoitwa AZT ambayo ni aina mojawapo ya ARV wengi wa waliotumia (Kwenye hiyo documentary) wanasema wameanza kuumwa kwa kutumia hizo dawa???? Kuhusu suala la lishe hilo linajulikana mgonjwa yeyote anahitaji lishe iliyobora aweze kutengeneza kinga ya kupambana na ugonjwa unaomsumbua.
Kuna study zimefanywa kwa Mbwa wakagundua kuwa asilimia karibia 50 ya Mbwa waliopimwa wamekutwa ni HIV - Positive. Reference Strandstrom H, et al 1990 Studies with Canine Sera which Recognise HIV Structural Proteins, Cancer Research
Si hilo tu In another report, 13% of Amazonian Indians who do not have AIDS and who have no contact with people outside their own tribe tested HIV positive. Reference HIV & AIDS - Is a Positive Western Blot Proof of HIV Infection?
Waswahili wana sema akili kumkichwa

Mkuu Obi kuna extension ya hiyo documentary ya house of numbers wameshakubaliana kuwa HIV inasababisha ukimwi check hii Prof. Luc Montagnier's Extended House of Numbers Interview - YouTube, nafikiri suala la msingi hapa ni kuangalia njia zipi za kuongeza immune system zetu vilevile kujiepusha na mtandao wa 0713, kwa sababu ya friction kubwa ambayo inasababisha michubuko na ni laana pia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Obi
Mkuu, ukimwi ni DILI la wakubwa wenye viwanda vya madawa duniani wakishirikiana na serikali za mataifa makubwa, wala HIV haina hoja yeyote hapa, ni uongo, uroho wa fedha haramu na madaraka duniani. Biblia ilishasema ''Watu wagu wanaangamia kwa kukosa maarifa''. Watu tunadanganywa mengi sana. kwenye vidanda vya movies na maduka ya filamu jijini dar es salaam tayari filamu za kiswahili zinazoelezea namna marekani walivyoubuni ukimwi kwa malengo ya kupunguza idadi ya watu duniani hasa wanaishi katika nchi masikini na hatimaye watawale dunia! hii ndiyo sababu huwa sipendi tanzania kupokea misaada toka marekani!

Kama miaka 6 sasa tangu nijuwe ukweli kuhusu ukimwi, hizo movie zote za kiingereza ninazo.
Ukweli ni kuwa hakuna kitu kinaitwa hiv kinachoweza kuleta ukimwi mwilini walaukimwi si ugonjwa kuambukizana! Tumieni akili zenu, na tatizo la watanzania wengi si wafuatiliaji wa masuala ya afya zao, kwao hilo ni jukumu la madaktari!.

SWALI: Mpo tayari kushindana na wakubwa? mtashinda? nani yupo tayari kufa kwa ajili ya wengine kwa kuutangaza ukimwi tofauti na unavyojulikana na watu wengi?. Lakini lililo mhimu ni; NANI ANAJUWA ATAKUFA LINI?
 
conspiracy theories, nyie semeni HIV haileti AIDS huku watu wakizidi kuangamia. Mzee Mbeki alitumbukia kwene huu mtego, watu wakataka kumgawana/
 
Mwiteni mzizimkavu atawambia Ukimwi unatibiwa kwa kunywa maji ya vuguvugu. Waganga wa kienyeji bwana shida tupo. Wanawapoteza sana watanzania.
Mkuu wewe jua HIV ndo inayosababisha AIDS watu wapo na ugonjwa upo. Kama wataka amini ni pm au nenda hospital yeyote kubwa utawakuta kibao
 
Sasa kama ni ugonjwa wa kufikirika au HIV haimbukizi AIDS
Tuambieni basi AIDS ni kitu gani na hiyo HIV ni nini kwa maana nishakuwa na uzoefu wa kupoteza watu watatu wa karibu mno kwa AIDS?
 
Back
Top Bottom