mnadanganyana tu....honey haiwezi kuwa new gold hata kwa uchawi.
Mizengo Pinda is the weakest premier ever...akili na mawazo yake yanaishia kwenye asali na kilimo cha ngwamba chenye kutegemea mvua za mungu, hawezi kuongelea tough issues, not kwamba asali ni dili hivyo, sasa kwa vile na siye kibongo bongo kila linasemwa na mkubwa tunaamini basi ndiyo hivyo.
Ninachojaribu kukiona ni mtazamo wa kusema kuna fursa nyingine ambayo km nchi yetu ingekuwa mipango ya kukuza uchumi kwa nia ya dhati,basi tz ingepaa,asali yes ni muendelezo wa drama,"why do you need the new one yet you have fail to try,manage or utilize the old one"ujanja ujanja tu serikalini,sera za viwanda vya kati??tupa kule,tunaunda unda bodi,hakuna vitendo,mazingira mazuri na usimamizi mzuri kuwa na mfumo wa kuyaongezea thaman mazao yetu ingefaa sana
samaki
pamba
korosho
kahawa
asali
chai
imebidi wanajiita wajasiriamali kiujanjaujanja watumie fursa ktk baadhi ya maeneo tajwa hapo juu.Gold,asali n.k tz imebarikiwa sn ila haitaendelea.