Is instagram down? 13/07/2018

Is instagram down? 13/07/2018

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
I can't login instagram account, r u facing the same?
 
Dah nimeona nibaki jf tu huko Ig mambo ya Kitoto mengi
 
Mimi huwa naona kama wanawake wanawake ndio kwao huko,ila kwa midume,dah...anyway ngoja tuendelee kuvumiliana..
Bizness nyingi za kimtandao zipo instagram.
 
Huko Instagram Sijawahi Kuwa Hata Na Account Na Sijui Kukoje!

Iyegu!
 
Including umalaya,haiwezekani mtandao kila mwanamke anabinua tu makalio na vichupi,yaani ni mashindano ya kuwa uchi,hell no!
Including umalaya,haiwezekani mtandao kila mwanamke anabinua tu makalio na vichupi,yaani ni mashindano ya kuwa uchi,hell no!
Bila ni matangazo, Matangazo yapo ya aina nyingi, Yapo ya legal na illegal pia. Wengine ili mkono uingie kinywani ni waonyeshe nudity
 
Wekeni Link wadau, Huyo Instagram anahusika vipi na siasa za Tanzania? ongezeeni nyama wadau
 
Including umalaya,haiwezekani mtandao kila mwanamke anabinua tu makalio na vichupi,yaani ni mashindano ya kuwa uchi,hell no!
Yaaani huo mtandao nilisha ui unstore kitambo mnoooo""
 
Back
Top Bottom