Is it a need or a want?

waulize watu waliowahi kuwa na bosi wa kike ambae ana matatizo kwenye ndoa yake
watakwambia......au mama ambae baba amesafiri mda mrefu uone jinsi walivyo
wakali na hasira za ajabu...sex ni dawa aisee

Hahahahahahahah,

Boss kweli umenikumbusha mbali...Kuna jamaa aliataka kupasuliwa kwa mtutu wa mguu wa kuku (pistol) na boss wake wa kike kwa sababu aliingia ofisini kwa boss asubuhi wakati boss alikuwa anauguza majeraha ya kuachwa soremba siku ya Valentine's Day!!!

Kazi ipo!!
 
waulize watu waliowahi kuwa na bosi wa kike ambae ana matatizo kwenye ndoa yake
watakwambia......au mama ambae baba amesafiri mda mrefu uone jinsi walivyo
wakali na hasira za ajabu...sex ni dawa aisee


Asante!!!
 
anxiety due to lack of sex can kill due to continuous stress that induces hyperstension. so lack of sex can kill, thus its a need,nt want!
the effects of not having sex can be 1.anxiety...2.mental disturbance..3.pleanty other psychological stuffs....

yes...one may not die.....but the need is there...lol
 
Stress releaser .........................and helps to have better teeth!!!

anxiety due to lack of sex can kill due to continuous stress that induces hyperstension. so lack of sex can kill, thus its a need,nt want!


Huu uzi umenikumbusha Salt n' Peppeer

Lets talk about SEX baby...
Lets talk about you and me...
Lets talk about all the good things
and all the bad things that may be
Lets talk about SEX... Lets talk about!
 
Sex...is it a need or want?
Need = hitaji
Want =takwa

Hitaji maana yake kitu cha lazima
Takwa ni shurti - siyo lazima lol

Kwenye mapenzi - sex is a need
Kwenye ukware sex ni takwa!
Hivyo basi mara nyingi kwa wanaume sex ni vyote
Kwa wanawake sex ni need na mara chache ni want.
 
Mie nashindwa elewa hapa ubishani upo wapi.... Kuna ambae anaweza sema hajawahi kua na zote mbili yaani "Need" na "Want"??
 
weeh sema tu kama un needs ama wants. maakili yote haya probation ya nini,mi sijui theory banaa. clear me nikatafute ada ya practical,lol
aisee kumbe una akili hivi?
sasa ile probation ya miaka mitano?lol
 
He!Mi simo!Kwangu majibu yote a na b ni sawa halafu sio sawa,coz nina miaka sijapata hiyo kitu halafu niko poa!
 
hahhaa,sasa wenye mapengo unamaanisha nn mwali wewe una mambo!

Hahahahahaa mwali wewe hebu ntue huko. Nkikwambia utaniuliza conection yake na meno mdomoni mie ctaki.
Wanasema, ndio nimesema wanasema kuwa ile malighafi huwa ina madini ya zinc na calcium ambazo zinahu sana katika kuslow down tooth decay....now usiniulize connection wala where does the flash stick been inserted. [FONT=arial, helvetica, sans-serif]

Usiku mwema
[/FONT]
 
Sex...is it a need or want?

kwa wanyama (except dolphins na certain species za sokwe) sex is a need kwa maana ya kuzaaana na kuongezeka,so they do it only when they are on heat, kwa binadamu certainly it is for both pleasure na 'zaeni mkaongezeke'.
 

You've just validated my point that there is no clear-cut answer.

Who makes up society if it's not the individuals? Can there be society without individuals?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…