Kwani huwezi kumpenda?
Is it fair kuwa na mtu usiempenda just bcoz yeye anakupenda na kukujali sana? Utakua unamtendea haki?
with two examples, define fair..
Thanx all kwa ushauri. Kama mtu ni kinganganizi nimfanyeje? Maana najitahdi kumwelewesha haelewi.kumwambia direct kwamba simpendi naona ataumia sana ila ananiambia nitake tym labda nitampenda. How can i learn to love?is it possible? Haelewi ananiambia anajua mie ndo mkewe