The fare was fair kabisa maana aliombwa akakubali kutuma na hakuomba guarantee yoyote.
The fare was fair kabisa maana aliombwa akakubali kutuma na hakuomba guarantee yoyote.
habari yako Nilham......wallah nakwambia kuna mijidada mikurumbembe yachuna hiyo.....balaa
h he heeee eti achunwa????? Ama hapa wallah patamu jf.....
Mshikaji wangu mmoja anayeishi Dar ana rafiki yake wa kike wa siku nyingi anayeishi mkoani. Siku chache zilizopita alimuomba amtumie nauli aje Dar kutembea. Jamaa hakufanya ajizi akamtumia kilo 1 ghafla.
Huyo dada alifika Dar Jumatatu ya wiki iliyopita kama alivyoahidi na kupokelewa na ndugu zake, akimuahidi mshikaji kwamba wangeonana kesho yake. Tatizo tangu afike amekuwa busy sana na ndugu zake kiasi amekosa muda kabisa wa kuonana na mshikaji, zaidi ya kuwasiliana nae kwenye simu na kumpa ahadi moto moto.
Jamaa kachoka na ahadi za uongo na ameamua kuwa mpole mpaka huyo dada atakapopata muda wa kumtafuta na kuwa nae, kama sio kurudi mkoani bila kuonana nae. Hivi huyu shemeji yetu anamtendea haki kweli mshikaji?

Asife moyo brazamen, kama huo mtego haukushika atege mwengineee!!!!!!!!!!!
Hawa ni marafiki tu, hawajafikia hatua ya uchumba.Kwani huyu jamaa na huyo demu wake wako kwenye mkataba gani (ndoa, wachumba au marafiki tu?) Kama ni marafiki tu basi inabidi akubaliane na hali halisi. Maana demu kafika kwa ndg zake na labda amejaribu kutafuta mbinu za kuwatoka ili aende kwa jamaa zinashindikana. Jamaa kama anampenda kweli demu basi aende akajitambulishe kwao ili wakati mwingine iwe rahisi kuaga toka kwa ndg kuwa anakwenda kwa mchumba; bila hivyo mambo yatakuwa ni hivyo siku zote wengine watoto wa mageti.
Ofcourse nauli ni kama 60, na jamaa aliipiga kilemba ili mtoto asipate taabu njiani.Imekula kwake....Nauli gani ya Laki??? Why nauli atume Nani na Kumpokea ampokee Nyani??? Ngumu kumeza..........
unapenda eeh njoo unichune bathi
Huyo dada alimshauri asije kumpokea kwani ndugu zake wangekuja kumpokea na ingeleta picha mbaya kwake kwani hawamfahamu.Huyo kaka *****, yaani atume nauli halafu asiende kumpokea hata amdrop hapo alipofikia? Hiyo ingemsaidia hata kupajua.. Inaelekea hayuko makini wacha wenye visu vikali wale nyama aendelee kuzubaa!
the case is both fair and fare. if your friend want beyond the fare he aint be fair to her provided that the fare was fairly given
Huyo dada alimshauri asije kumpokea kwani ndugu zake wangekuja kumpokea na ingeleta picha mbaya kwake kwani hawamfahamu.
Kiongozi hapo ndipo 'ulipoibiwa' mchana kweupeeeeeeeeeee
Kwa nini alikuomba nauli kama ndugu zake wanaweza kuwa na 'ushabiki' kiasi cha kuja kumpokea ubungo, na huku hawajampa nauli ya kuja kutembea Dar? Hapo tu......