Is it fair?

Asimuulize,awe kimya aone kama atamtafuta.Asipo mtafuta akirudi mkoani kimya kimya basi hiyo ni automatic red card.Haina mjadala ni sawa na kufumania,hakuna mazungumzo after ni kila mtu na lwake.
 
Asimuulize,awe kimya aone kama atamtafuta.Asipo mtafuta akirudi mkoani kimya kimya basi hiyo ni automatic red card.Haina mjadala ni sawa na kufumania,hakuna mazungumzo after ni kila mtu na lwake.

Twenzetu tukahesabiwe...............
 

Wauliza wapi ULIMI hali mdomo wauona; kama huyo ni shemeji yenu angekuwa kwenu na msingehangaika! Nduguyo hana hatimiliki hapao na usikute yupo hapo mjini anajivinjari na wenegine kwa gharama ya rafiki yako!
 
Mkome. Madem wakipewa wanaamini ni stahili yao. Aliomba nauli , kwani jamaa aliomba cho chote in turn ? It can't be automatic
 
Kwa uzoefu wangu huyo Binti atakwenda kwa huyo ndugu yako baada ya kumaliza mizunguuko yake si kwa nia ya kumtembelea bali ya kumlaghai kwa penzi la dakika kadhaa kisha kumwomba nauli ya kurudi kwao!
 
ubwege mwingine bana...!!!!yeye kilimshinda nini kwenda kumpokea mwandani wake ili hata kama anaenda na nduguze walau watiana machoni...hapo ndo angepata picha halisi kama hiyo safari ni yake yeye kidume AU ndo ameshakuwa wa kuzugia!!!!!!!! ndo tabu ya watu kufanya ishu kwa mazoea....!!
 

the girl was fair (not unfair as you say) to accept the fairly given fare. in this sense, demanding anything beyond the fairly given fare or forcing her to show up based on the fare alone do not render fair justice to both herself and her fair need for fare, even though it was an air fare.
 
kwa uzoefu wangu huyo binti atakwenda kwa huyo ndugu yako baada ya kumaliza mizunguuko yake si kwa nia ya kumtembelea bali ya kumlaghai kwa penzi la dakika kadhaa kisha kumwomba nauli ya kurudi kwao!

simpi hata alie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…