Is it happening?

Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
1,124
Reaction score
1,384
I mean existential crisis

Angalia ndugu yake na kurwa sasa hivi kwa mtaani anatamba na ubaya ubwela

Vijana mtandaoni wanahangaika na uwepo wa mungu, they feel his death

Viongozi wa serikali na dini wanacharuana hadharani! Iko wapi heshima?!

Kuongezeka kwa wimbi la hawa raia wasiokula nyama

Idadi kubwa ya upinzani kutoka kwa raia kwenda kwa mamlaka?

vita ya kimaadili?

vita ya kudai demokrasia, is how small folk adapt na watashinda, dini sasa hivi imemshinda anarudi kwenye siasa?!

Hahahahahahahaha I get mad sometime, wish he died for everyone to have his own table, time for recreation maybe

Kilichobaki ni chuki inaendelea kutafuna mifupa taratibu!

Waungwana hamjachoka tuu kutenda wema?

Aah sasa hivi mwanangu ni kufa mwenyewe tuu,
Aah mzee anazingua,
Mama amekuwa jimama
Somebody lost a son too

Baba anaitwa daddy right?!



Wanyama wameamka, ule utando unazidi kulemaa, watu wa lugha wanasema, god is dead in Tanzania too, hiki kirusi kwa sasa kinaanza na hizi sehemu ambazo kila kondoo alikuja na maadili yake. Halafu tutahamia kwa wale wenye maadili ya pamoja

Kwa kuwa mwili ni wa nyama na mungu anayeishi ndani yake tunamjua, tukumbuke tuu kuwa kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake

Pia mumpe mzee wetu wa lamba lamba salamu, mwambieni amechelewa japo alijitahidi, nnaambiwa na mama anatoa sana support ili watoto waangalie ottoman

Don't take me serious...........!!

Kuna wajuaji wa twitter wameniamshia ubaya kwa kusema bangi ni mbaya, kwa chuki niliyonayo inatosha kulipa hiki kisasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…