best man na mwenzie ndo wasimamizi wa ndoa...aka walezi wenu wa ndoa........
Kuhusu uwepo wao ukumbini itanoga kama wakiwepo, maana si tu kwamba watawasaidia hapa na pale bali mtapata kampani pale jukwaani, vilevile mkeo akitaka kwenda msalani nani ataenda nae? Zikitokea emergence nani atacover?
Wana umuhimu wao hao.....