is it possible to make ur x-lover a close friend?

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi nawapenda sana..
 
Mmmh hapo kuna kazi cjui kama inawezekana.
 
Ngumu sana!lazima mrudiane hapo!
 
Hili haliruhusiwi kabisa hasa kwenye mapenzi. Yaani umekosa mtu/watu wa kukupa ushauri mpaka umpe X nafasi hiyo? Hata kwa ushauri ambao hauhusiani na mapenzi, mpenzi uliye naye akigundua una wasiliana na X wako si itakuwa sokomoko?

Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi nawapenda sana..
 
Kumbuka wapenzi huwa hawaachani kwani hakuna kitu kilichokuwa kimewaunanisha, huwa wanatengana tu, na pindi wakikutana ni kula uroda. Wanaoachana ni wale waliofunga ndoa tu, hawa hutengua kile kilichowaunganisha, ambacho ni ndoa Takatifu.
 
he he he he X bana, ngoja ni-mute tu hapa ila kwa kifupi inawezekana kabisa na anakuwa mshauri mzuri na asiye na hila.
 
Achana nae population kubwa you can make a lots of friends.Mapenzi yakiisha unamfuata mtu wa nini na sio ndugu yako?undugu ndo haufi
 
Inawezekana hasa pale kila mmoja akiwa na wakwake na mkaweka wazi ka wapenzi wenu wapya!!!
 
Ni posible, kinachotakiwa hapa ni commitment tu, mm ni mfano, X ni nurse na alinisaidia sana ktk kujifungua kwa mke wangu. Sikuachana nae kwa ubaya kisa kilikuwa ni masomo tu na tulikubaliana. Tahadhari: Usikubali ukaribu maana mmojawapo anaweza kuomba kukumbushia ya zamani ambayo ni hatari sana kwa ndoa yako.
 
he he he he X bana, ngoja ni-mute tu hapa ila kwa kifupi inawezekana kabisa na anakuwa mshauri mzuri na asiye na hila.

una moyo eeh....
lakini nakubaliana na wewe.....nina ex wangu mmoja and only.....huyu tunashare mengi sana ktk life, na hata ndugu zake nashirikiana nao.....
 
Mmmh... Nilishajaribu kumfanya ex wangu awe rafiki yangu, kilichonitokea nikajuuuuta! Sitaki tena
 
Sikushauri hii KITU..bygones should be accounted bygones!
 
Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi nawapenda sana..

Hilo si jambo jema hata kidogo kumfanya x wako kuwa rafiki yako wa karibu na tena ni kosa zaidi kumfanya awe mshauri wako wa mambo ya mapenzi. Inawezekana kuachana kwenu hakukutokana na kukosana kimahusiano labda mlishinikizwa na wazazi, ndg, marafiki, kutokuonana kwa muda mrefu au tabia kutoku-match lakini yote haya hayakupi nafasi ya kumfanya kuwa mshauri wako.

Ukishakuwa na mahusiano na mtu mkaachana historia huonyesha kuwa wengi hawapendi kuona x-wake anafanikiwa ktk mahusiano. Kuna kama kahali fulani hivi ka wivu hivyo ni rahisi kukumislead na kujikuta unavunja mahusiano yako mapya. Na pia huwezi kujua huyo x-wako anakuwazia nini hata kama anakuchekea, anaweza kukutia majaribuni.

Ni vyema umwepuke kabisa. Tafuta mtu mwingine baki mwenye hekima zake akushauri
 
yaani hii haiwezekani mwanzo kati mwisho
 
close friend? ................... NO

just a friend?.......................YES
 
ukiona haiwezekani x wako kujuliana hata hali ukiachia mbali ushauri, chunguza sana aina ya watu unao-date nao.

Kuwa ex haiondoi ubinadamu wala busara za mtu.
 
yaani watu wanawaona ex's wao kama wanyama utadhani wao sio ma-ex wa watu kadhaa.

Yaani mie list(marcopolo 3) yangu yote ya ma- ex's are good people, kushindwana kimapenzi hakumaanishi wamekuwa watu wabaya mno.

una moyo eeh....
lakini nakubaliana na wewe.....nina ex wangu mmoja and only.....huyu tunashare mengi sana ktk life, na hata ndugu zake nashirikiana nao.....
 
yaani watu wanawaona ex's wao kama wanyama utadhani wao sio ma-ex wa watu kadhaa.

Yaani mie list(marcopolo 3) yangu yote ya ma- ex's are good people, kushindwana kimapenzi hakumaanishi wamekuwa watu wabaya mno.

Du! me nikajua wanajaa hiace....kumbe marcopolo tatu.............!!!!!!!!aisee Kongosho nataka uwe role model wangu kumbe mimi bado........vile vibinti vinavyonitizama vizuri vitapata habari yao kesho
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…