Yahemovich
Senior Member
- Jan 20, 2011
- 170
- 3
Endelea sana kuswali...Habari wanaJF.
Mimi ninaswali tu.
Hivi ni kweli inawezekana mtu ajitangaze Mtandaoni
anahitaji mpenzi/mchumba akampata na kuishi nae wakadumu kama wana ndoa?
Endelea sana kuswali...
Sugua kipandauso utasikilizwa ombi lako la kupata mchumba JF!
hAKUNA LISILOWEZEKANA!
Inawezekana!Jaribu kama unataka!
Je, wanaopatana kwa njia hii wanaweza kuendana kitabia?Yes, it is possible.
Je, wanaopatana kwa njia hii wanaweza kuendana kitabia?
Hadi waaminiane hivyo mara yakwanza tu?
Kwani nani amesema wanaaminiana mara ya kwanza?Hata unaekutana nae mtaani unatumia muda kumjua...hivyo hivyo online!
so Lizz unamaanisha "YES" kwanza "TRUST/FAITH" Baadae?
Nafikiri ukianza mawasiliano online, utachukua muda wa kufahamiana na kuona kama kweli mna-match kuwa mume na mke! Sidhani kama kulingana na sifa zile zinazowekwa hapa, basi ndo watu wanakubaliana kuwa wachumba! Nafikiri ni mwanzo wa kukutana tu!
Ingekuwa vizuri kama wapo ambapo wamepata wenzi wao thru online wakatupa ushuhuda mambo yaliendaje.
Namaanisha kwamba kama wote wanataka mahusiano wanaongea!Baadae wakiridhika wanakubaliana na mambo yanajipa!
Habari wanaJF.
Mimi ninaswali tu.
Hivi ni kweli inawezekana mtu ajitangaze Mtandaoni
anahitaji mpenzi/mchumba akampata na kuishi nae wakadumu kama wana ndoa?
Una wasiwasi?
Pakiwepo na double coincidence of want why not isiwezekane?