Shixi889
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 338
- 208
Am i pregnant??please help...!!!!nipo katika kipindi kigumu sana niko katika mahusiano ambayo toka mwanzo tulikubaliana kabisa masuala ya kupata mtoto ni mpaka tuwe tayari na kwa muda wote tunatumia kinga.Na toka nikue sjawai kumiss period but mwezi huu mpaka sasa nimemiss period kwa siku kama 5 ivi sasa sielewi tatizo hapa ni nini is it possible nina mimba??but how??hata kama ni kweli nitaeleweka kweli hapa??
Please!!!!help!!!!
Please!!!!help!!!!