Unapofunga kibwebwe kiunoni lazima ujue kucheza mdumange, siku hizi mtu unaweza kujipima ukimwi, mimba na hata malaria bila kwenda hospital. nenda kwenye Pharmarcy wambie wakuuzie pregnant test inauzwa buku tu, utaelekezwa jinsi ya kuisoma kisha utagundua kama umenasa au la!
Asante kwa ushauri mkuu ntafanya hivyo but nimekuja jamvini kusaka ushauri zaidi maana it cant be possible inakuaje niwe preg wakti always natumia kinga??
oldd vampire asante ntafanya hivyo...!!!!kapime na ki pregnant test mwaya,afu ndo tutajua jinsi ya kukuelekeza,maana hapa huna uhakika kama una mimba,n smtyms menstruation hua inachange sana tuu,kwa kila mwanamke,chakufanya kapime kwanza,af km unayo rudi jamvini for more elaborations,sawa mama
SHIXI889; Sikiliza, suala la kusema kuwa umetumia kinga si la uhakika kwa asilimia 100! No. Ndio maana wanakwambia kuwa kama kinga hujaitumia kikamilifu uwezekano wa kupata magonjwa/mimba ni mkubwa. Pia kumbuka kuwa mwenye ukweli juu ya hili ni mwanaume wala si wewe.
Mara nyingi mwanamme akiona mpenzi aliyenaye ni mtata wa kutaka kujifanya mtakatifu zaidi lazima atafanya kila awezalo akukomoe. Yawezekana yeye alijua anachokifanya na wala hiyo si bahati mbaya. ila sitaki kuwachonganisha ukamchukia, lijadilini hilo.
Its almost a wik sasa.
Hakuna dawa zozote nazotumia isitoshe nina muda mrefu sana sijatumia dawa za aina yoyote!!!!
Yes ni condoms and ofcoz anabadilisha condom az ni lazma kufanya hivyo...!!labda kama kweli ilipasuka na akaamua kukaa kimya!!!unaposema unatumia kinga unamaanisha Condom au? kama ni ndio, jamaa yako akirusha cha kwanza anabadilisha Condom au anaendelea nayo?? pia huenda kama ni condom kuna siku ilipasuka na hakukuambia.......
Mkuu Shixi889, kuna mambo kadhaa yanaweza kusababisha kuchelewa kwa hedhi...kuwa mjamzito ikianza na vingine vikifuatia kama vile
-Msongo(Stress and Anxiety)
-Kutumia dawa(za aina mbalimbali hasa za uzazi wa mpango)
-Kupungua uzito sana au kuwa na uzito kupita kiasi
-Mazoezi makali sana ya mwili(excessive exercise)
njia rahisi ni kupima vichochezi(hormone) katika mkojo yaani b-hCG, hivyo unaweza kutumia hii kwa kununua katika Duka la Dawa ukiulizia UPT(Urine Pregnancy Test)..fuata maelekezo ya UPT,utatambua kama u mjamzito au la!
Just relax mimba sio ugaonjwa mama.....